Msio na uhakika wa kwenda mbinguni mkutane hapa

Hivi ukiacha hicho kinachoitwa uzinzi utafanya nn kingine!?? Halafu km mimi Baba na mama wote wametangulia mbele ya haki...ina maana me kuhonga ni haki yangu kabisaa!!

Na ikitokea mimi nisiende mbinguni,basi watu wote ni wa motoni. Yaani km kweli mbingu ipo,me kwenda Lazima!!!
 
Mbingu ipo kwa ajili ya kila mmoja ila uamuzi wa kwenda ama kutokwenda siku ikifika ni wa mtu binafsi kwa namna ya maisha anayoishi
 

Maisha ya dunia ipi hii hii? Ivi unadham maisha n marahs eeh wafia dini bnh et usihadaike na dunia kama
Kila kitu kinakuja mdomoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…