Salaam, shalom!
Mwili unaonekana, NAFSI ,akili na Roho havionekani ila vipo ,Volcano chini ya ardhi inaonekana, kuzimu ya moto IPO ,haionekani Kwa macho ya nyama. Lava IPO inaonekana, pia kuzimu IPO ila havionekani Kwa macho ya nyama.
Kuzimu Kuna moto, mtu na asikudanganye kwamba mwili wako ukijitenga na Roho Yako kwamba utakuwa kama mtu aliyepigwa ganzi, kwamba hutoisikia chochote, utalala fofofo, kwamba mwili ukioza ndio imeisha, unajidanganya.
Mtu ni ROHO, anayo NAFSI, na anaishi ndani ya MWILI, kuoza Kwa mwili hakuna mabadiliko yoyote kwenye nafsi na Roho.
Na ukitaka kujua hata maumivu unayohisi ni sababu uko hai, maana yake ni kuwa, maiti haiwezi kusikia maumivu, kinachomfanya usikie maumivu ni NAFSI Yako hai ndani ya MWILI, hiyo itaendelea kuishi hata baada ya MWILI kutengana na Roho.
Moto wa kuzimu ni halisi, na kuzimu ni chini, uwepo wa uji wa moto chini ya Dunia uitwao volcano ni uthibitisho pia juu ya uwepo wa kuzimu ya moto katika Ulimwengu wa Roho, ukifa bila kumwamini YESU, ukifa dhambini, utakwenda kuzimu,mwili ukibaki kaburini.
NB: Kuzimu ni halisi, na moto wa kule ni zaidi ya gesi, na hauzimiki. Na funza waliomo ndani ya moto Ule hawaingui, ni spesho kutesa waliomo ndani ya shimo lile.
Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako, fuatisha Sala hii:
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN