Msioamini uwepo wa kuzimu ya moto, jifunzeni kupitia uwepo wa volcano

Msioamini uwepo wa kuzimu ya moto, jifunzeni kupitia uwepo wa volcano

Hakuna kitu kibaya kama kuijua dini wakati elimu ni la pili mwezi wa pili
Dini hazijadiliwi hapa,

Kuna mdau anasema Kuna kikundi Fulani kinaaminishwa kupitia dini Fulani kuwa maiti unaweza itandika viboko ikasikia maumivu 😀
 
Wanaoamini uwepo wa Mizimu ya mababu zao,

Ila kuhusu uwepo wa kuzimu ya moto wanabisha.

Witchcraft is real.
 
Volcano na kuzimu ni tofauti. Volcano tunaiona na tunadeal nayo kwa kuikimbia. Kuzimu vp mbona kama ni theory tu au ww unaweza kuthibitisha kwa kutulete hata mtu alienda akarudi na picha kadhaa video na ushahidi wa huko
 
Kama shetani ndio anasababisha binadamu watende dhambi..kwanini Mungu amekua akishughulika kuwaua binadamu wengi badala ya kumuua tu shetani mara moja.??..rejea kwenye gharika la nuhu,,,na issue ya moto wa kuzimu..
 
Back
Top Bottom