Msiofahamu maeneo ya Dar es Salaam kwenye mahusiano tambueni hili

Msiofahamu maeneo ya Dar es Salaam kwenye mahusiano tambueni hili

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Tuliozaliwa Dar ndio tunajua eneo fulani ukipenda huko kubari matokeo yake au majibu yake.

Watu wengi wanakuja dar na kujikuta wameingia kwenye mahusiano na wenyeji au wakuja waliozoea.
leo tunabaki kusema mikoa na makabila ila tuje Dar na wananchi wake:

Kinondoni
Hapa mapenzi kila mtu mjuaji iwe wa kuja au mwenyeji na kila mtu wa viwanja na maisha fulani.asilimia kubwa ni watu wenye show off,wajanja na wasanii wengi.wapenda pesa kutunzwa,uvivu,wauza sura,slay queen na wadangaji wa kutosha.

Mwananyala
Hapa ili mradi mapenzi twende kama mp3 kwenye deki ya kichina.huku ijulikani maana hakuna huwakika ila 50/50 waliokaa mda mrefu na waliochana.

Tandale
Sio mbaya mkaelezwa historia na mama yake chibu ,huku uwezo wako kama mwanaume na wanawake ni uwezo wako ,yani wote ukipata tujipesa maisha ya mapenzi yana kwenda kikubwa mboga ya utumbo na mchuzi wa mbilimbili.

Sinza
Hapa unaweza kujikuta una mpenzi ni danga au anazaidi ya mahusiano mengine, wapenda kitonga, kuishi vizuri na kuomba sana.

Mwenge
ijulikani ila kila mtu ana siri yake

Makongo, Kimara, Mbezi kimara, Tegeta, Kigamboni
Huko kidogo sababu kuna wageni na wanaheshimiana.

Tabata
Hapa sina lakuongea kwa sasa wahamiaji haramu toka sinza, buguruni, kino na wapenda bata wote wapo kule.

Buguruni, Temeke, Mbagala
Tuombe mungu kutunusuru.

Ukonga, Gongo la Mboto
Bado pasafi ila kuna matatizo kibao.

Manzese, Tandale, Temeke Mikoroshini, Buza
Shule nzima kupata ziro ni kawaida kwenye mapenzi
 
Kaka unaongea uhalisia au dhiaka au umekopi na kupesti!!!!Na sisi wazawa tukupe uzoefu wetu au?
 
Mkuu inaonekana wewe kilometer zako ni chache sana mjini
 
Back
Top Bottom