Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Nyie msiojulikana mliojazana huko kwenye vyombo vya kutesa na kuua raia ni suala la muda tu kujulikana kwenu.
Damu ya mtu sio maji ya kunywa, juice, soda ama pombe.
===
Mwanajeshi mmoja nchini Gambia, Luteni Malick Jatta amekiri kuua watu 50 mwaka 2005 kwa agizo la aliyekuwa Rais wa nchi hiyoYahya Jammeh. Jatta amesema hayo mbele ya Tume ya Ukweli na Maridhiano (TRRC), inayochunguza maovu aliyofanya Jammeh katika utawala wake wa miaka 22.