Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie msiojulikana mliojazana huko kwenye vyombo vya kutesa na kuua raia ni suala la muda tu kujulikana kwenu.
Damu ya mtu sio maji ya kunywa,juice,soda ama pombe.
View attachment 3079728
Kama mnafikiri mpo salama mnajidanganya.View attachment 3079730
Hii ndio hali halisi ilivyo katika nchi hizi za ku-Afrika. Makundi yenye silaha yanayoitwa kuwa ni Vyombo vya Dola au Vyombo vya Usalama ndiyo vinaongoza kwa kufanya uovu mbaya dhidi ya RaiaNitazidi kuwa kumbusha ujinga wenu, hampo salama acheni ujinga wenu mara moja.View attachment 3079733