Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #21
Unahuzunika kutokula kitu kinachokidhuru? Kama umeacha pombe,juisi pia sio option nzuri kwako mkuu
Ilikuwa ina nipa 'vibe' sana, ila ndio hivyo tena, afya ni muhimu zaidi; inabidi kuishi kama nipo kifungoni.Tukiwaona nyie mnavoyumbayumba bila sababu😂😂sisi kwetu raaaaaahaaa
Wewe umewezaje kuishi maisha ya furaha bila pombe?Msiache pombe mkiacha tutakosa watu wa kuwadharau mtaani
Niliacha pombe japo huwa nazimiss ila toka niache pombe nimebadilika physically, mentally na financially
Yaaani hapa nilipo koo linakauka kwa kukosa chochote kituPole Sana mkuu ngoja niite jopo langu.
Cc. min -me , secretarybird , Monetary doctor , Harmful , Castle_Lite
E.t.c
"Sisi" tusiokunywa pombe mambo yetu makuu tukikutana ni uongo,kusengenya,kuzusha mambo,kuona wanywaji wa pombe kama mashetani,kuhamahama vijiwe na kutafuta habari zinazofurahisha kwa muda hata kama ni za ujingaujinga,kuigiza ni Wacha Mungu na kufanya heshima za kinafiki.Vilevile kujifanya ni watu smarts vichwani wakati si kweli kama tukipimwa tusiokunywa kumi lazima vilaza wanane watapatikana.Karibu sana mkuu utapatiwa na kadi ya Uanachama.Kutokana na changamoto za kimwili na kiafya, nimeshauriwa niache kwa muda kunywa pombe.
Sasa najihisi kama niko kifungoni, sifurahii maisha kabisa; nakunywa juisi, soda, maji n.k nyama zote nakula, natembea kutoka pointi moja hadi nyingine, totozi hakuna shida.
Pamoja na yote hayo, naona sifurahii maisha kabisa kwa sababu ya kutokunywa pombe, najiona napwaya kabisa.
Kama ni viwanja, wale wakaribu yangu watakunywa pombe ila mimi napiga tu maji na juisi tu.
Wakuu, msiokunywa pombe, mnafurahiaje maisha?
Niifanyeje mkuu?Hapo ni ishu ya akili yako tu
Hicho chama sikiwezi ni kigumu sana, ata umuhimu wa hela haunekani."Sisi" tusiokunywa pombe mambo yetu makuu tukikutana ni uongo,kusengenya,kuzusha mambo,kuona wanywaji wa pombe kama mashetani,kuhamahama vijiwe na kutafuta habari zinazofurahisha kwa muda hata kama ni za ujingaujinga,kuigiza ni Wacha Mungu na kufanya heshima za kinafiki.Vilevile kujifanya ni watu smarts vichwani wakati si kweli kama tukipimwa tusiokunywa kumi lazima vilaza wanane watapatikana.Karibu sana mkuu utapatiwa na kadi ya Uanachama.
Nyeto na bangiKutokana na changamoto za kimwili na kiafya, nimeshauriwa niache kwa muda kunywa pombe.
Sasa najihisi kama niko kifungoni, sifurahii maisha kabisa; nakunywa juisi, soda, maji n.k nyama zote nakula, natembea kutoka pointi moja hadi nyingine, totozi hakuna shida.
Pamoja na yote hayo, naona sifurahii maisha kabisa kwa sababu ya kutokunywa pombe, najiona napwaya kabisa.
Kama ni viwanja, wale wakaribu yangu watakunywa pombe ila mimi napiga tu maji na juisi tu.
Wakuu, msiokunywa pombe, mnafurahiaje maisha?
Ni kwasababu we bado unajali sana kunywa pombe,uwazalo ndilo utaendelea kuwaza,chakufanya nikuondoa hilo wazo kichwani mwako,,kaa mbali sana na hiyo kitu,kunywa tu maji au juice basi,then utafaulu.Kutokana na changamoto za kimwili na kiafya, nimeshauriwa niache kwa muda kunywa pombe.
Sasa najihisi kama niko kifungoni, sifurahii maisha kabisa; nakunywa juisi, soda, maji n.k nyama zote nakula, natembea kutoka pointi moja hadi nyingine, totozi hakuna shida.
Pamoja na yote hayo, naona sifurahii maisha kabisa kwa sababu ya kutokunywa pombe, najiona napwaya kabisa.
Kama ni viwanja, wale wakaribu yangu watakunywa pombe ila mimi napiga tu maji na juisi tu.
Wakuu, msiokunywa pombe, mnafurahiaje maisha?
Unakosa uhondo!Hupendi kuonea wengine vijicho na ukifika ugenini ukapewa chai ya moto kwenye bakuli la bati ili utoe yote uliyoyaona na kuyasikia huku hupumziki kuongea?Tupo very happy mkuu!Hicho chama sikiwezi ni kigumu sana, ata umuhimu wa hela haunekani.
Mfano tu, papuchi, pombe haiifikii hata asilimia 2Hakuna Kama ipo itajee
Inawezekana mwanzo ukawa ni mgumu, ngoja nisubiri baada ya miezi sita kama nitafaulu.Ni kwasababu we bado unajali sana kunywa pombe,uwazalo ndilo utaendelea kuwaza,chakufanya nikuondoa hilo wazo kichwani mwako,,kaa mbali sana na hiyo kitu,kunywa tu maji au juice basi,then utafaulu.
Shughulisha ubongo utaziona zipo kedekedeNajaribu kutafuta, sioni mbadala
Alafu sijui kwanini iko hivyo, asilimia kubwa ya ambao hawanywi pombe wako hivyo.Unakosa uhondo!Hupendi kuonea wengine vijicho na ukifika ugenini ukapewa chai ya moto kwenye bakuli la bati ili utoe yote uliyoyaona na kuyasikia huku hupumziki kuongea?Tupo very happy mkuu!
Kwa nini viwanda havifungwi sasa, tukaongeza viwanda vya kuabudu?Pombe niharamu