Msiokunywa pombe, mnastarehe vipi?

Kwahiyo doctor kasema uache pombe?

Kwasasa unywe juis au mirinda nyeusi yaani lipstiki?

Pole mkuu kwa yalokukuta
 
Utazoea tu maisha ya kuwa timamu... Nauwakika pombe aukuanza ukiwa mtoto mchanga lakini ulikua unaenjoy maisha, na ndio hvo na wakati huu utayainjoi maisha tu bila pombe jipe muda...
 
Wanaishia kupapasa na kulala usingizi
 
Kweli mkuu, inafikia hatua nikiwa kiwanja kwa wale walionizoea wananiletea chupa kadhaa, inabidi wale walioko karibu yangu wazitumie.

Ingawa niko kama vile kifungoni; sioni umuhimu wa vingine kwa sababu ile furaha 'vibe' sina.​
Hauko kifungoni, unatoka kifungoni kuja kwny uhuru.. pombe haijawahi muacha mtu salama abadani
 
sijui starehe yangu nini, lakini sitamani kabisa kuja kunywa hata kujua radha ya kilevi chochote maishani mwangu.
 
Nilijuwa haiwezekani
Kumbe inawezekana. Mwaka sasa sinywi kabisaa
Narudi home mapema
Nanununuq vitu nivipendqvyo badala ya TUNGI TUU MPAKA UNACHAKAA
 
Welcome to the club...
 
Starehe Yako wewe Ni Pombe, Tukikupa starehe zetu Utaziweza Mkuu, Kila mtu apambane na starehe yake
 
Anza na ugoro usipoelewa
Piga ganja tena high grade
Alaf Kuna mirungi
Bado shishaaa
Sigaraa kama zote
Mbona vilevi vingi tuh acha kujitesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…