Msiokunywa pombe, mnastarehe vipi?

ukiuendekeza mwili lazima ufe bia ni takataka haikup furaha ya kweli MIE TANGU NIMEANZA KUMFUATA OLUMBA KRISTO ALIYERUD NINA FURAHA KULIKO UNAVYO CHUA SODA SINYWI NYAMA SILI NINA AMAN NA FURAHA SANA
Kwa hayo mavazi na ngozi inafikirisha sana
 
HUjui tu starehe ya kwenda massage, hutahtaji pombe hata kidogo.
 
Anza kuvuta mpepe a.k.a cha Arusha, hautojutia mkuu.
 
Kama ungefanikiwa kusikiliza wimbo wa waswahili -kila mtu na starehe yake nadhani usingeuliza hilo swali.

View: https://www.youtube.com/watch?v=6PtLkQlbzQA&list=RD6PtLkQlbzQA&start_radio=1
 
Bangi zangu stick mbili,juice ya nanasi cake pakti tatu na playstation 4 yangu nikicheza GTA v au mortal kombat
 
Zile ni hadithi za wazungu tu katika kututengenezea mazingira ya kututawala.
hahahahaha unasema ivyo kwa kuwa haujitambui njia ya kwanza kumjua Mungu ni kujitambua na ukikana kuwa sio kweli hauna utofauti na binadamu anayekana pumzi ya uhai hauioni ila ipo .....OOO POWER OLUMBA IS MIGHTY KING WHO COMES TO RULE WAIT AND SEE
 
Huwa anatembelea wafungwa? huwa anasaidia masikini? huwa anatembelea wagonjwa hospitalini?
Au ndio ile leteni sadaka/michango ili niweze kuishi kama mfalme?​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…