Msione mtu anamn'gang'ania mtu kuna vitu havielezeki

Halafu kibaya zaidi haya yote aliyokuwa anakufanyia kipindi hiko eti saizi anamfanyia mwanaume mwingine huko[emoji848][emoji848]

Ukifikiria hivi aisee unaweza rukwa akili mkuu
 
Halafu kibaya zaidi haya yote aliyokuwa anakufanyia kipindi hiko eti saizi anamfanyia mwanaume mwingine huko[emoji848][emoji848]

Ukifikiria hivi aisee unaweza rukwa akili mkuu
Kabisa mkuu[emoji4]
 
Hongera Mkuu Mana angalau kuna kinachokupa furaha hapo
 
Mbona kama unaongopa embu niletee huyo mmeo nami sishuhudie kwama ni kweli yaliyamo yapo au ndio yamesha disappear [emoji849][emoji849][emoji849]
Mume wake ndio mimi ila sikutaka kujulikana tu.
 
Siku hizi wanawake wamechachamaa kufikishwa kileleni as if hapo zamani walikuwa hawafikishwi.

-Vijana nao wanachachamaa kunywa Kvant , kupiga Energy na Panadol ,Kupaka mkongo,mundende ,puturu na vitu vinafyofanana na hivyo.

Itoshe kusema tafuta wa kuendana na wewe ,kama wewe ni tako 3 tafuta demu wa tako 3 pia ,maana gumegume anaendana na nungayembe sasa usiombe Fan cargo ukaenda kuvamia semi itakula kwako.
 
Mbona kama unaongopa embu niletee huyo mmeo nami sishuhudie kwama ni kweli yaliyamo yapo au ndio yamesha disappear [emoji849][emoji849][emoji849]
Niko hapa ni kwlei yamo, ila ni vizuri uka confirm physical
 
Usiseme hujawahi fikishwa mlima Kilimanajaro na yeyote wakati mimi hujanitafuta, njoo tupande wote mlima wetu pendwa.
 
Namie Niko Kama wewe kwa mama S yaani ni mke wa mtu Ila Sasa jamani. Nikitoka kwake huwa sinyanyui macho kupepesa pengine Mana sioni nakuwa nimeridhika kinyama. Kama hapo nishamjulia Hali na mke wangu wa ndoa bado
Siku baba S akikunja Kama jongoo huku akisukuma bolooo kwenye rectum mbona utakojoa tu na wewe....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Joking!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ kama sijakuelewa hilo jani la spinachπŸ˜‚πŸ™Œ
 
Mbona kama unaongopa embu niletee huyo mmeo nami sishuhudie kwama ni kweli yaliyamo yapo au ndio yamesha disappear [emoji849][emoji849][emoji849]
Oh My Guard!
Viumbe hawa wameanza kutuchanganya tena!
Turudini VETA
 
Aisee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…