ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nashangaa Sana vijana wenzangu ambao mnaogopa kuoa wanawake wa kileo wawasaidie kazi za home Kama vile kufua nguo ili nyie mpate muda wa kusaka hela huko kitaa mnafeli wapi ndugu zangu hivi kweli mtu mzima Kama wewe unakundula kudeki na kuosha masufuria...acheni zenu hizo ebu oeni huko Tena oeni wale watumishi wa serikali kabisa wawape challenge nyie si mnajifanya ma great thinker huku hamtaki kuja kula million Mia za mafao siku mkeo akistafu.