JEJUTz
Member
- Aug 22, 2024
- 75
- 197
Lengo si kuhamasisha ulevi au kutumia pombe no!
Ila ipo hivi: Imagine wewe na mpenzi wako mlikaa muda mrefu bila kuonana ile shauku ya kumuona tena mwenzako plus hamu ya ku-do!
Kunywa tu juice na maji mtakuwa hamtendeani haki. Ili kunogesha penzi mnatakiwa muwe high mtaenjoy sana.
Imagine mtu kasafiri umbali mrefu kuja kukuona mpenzi wake halafu mnakunywa juice zenu na maji na kisha kujifungia ndani kama kuku tena mapema tu.
Hii si sawa, raha ya penzi kuchangamka .Kwa mantiki hiyo hapa kinywaji kinahusika, Tequila Camino, Jack Daniel, Black &White, Captain Morgan, hapa ndo mahala pake.
Mi nikienda kwa mtu halafu asitupie pombe kidogo halafu na chumbani hajachangamka nikiondoka na mahusiano yanaishia hapo.
Hapa nimeongelea ule unywaji wa kistarabu na pombe zinazoeleweka. Sio mipombe ya kienyeji plus visungura vinavyoleta kero kwa mwenzako.