Msipende kujitafutia faraja humu kwa maamuzi mliofanya ya kutoa watoto English Elementaries na kuwapeleka kayumba. Hakika mna Inferiority complex

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Yani unakuta mtu anakuja na theories sijui ame-google wapi, anaziunganisha unganisha ili tu muonekane mnaosomesha watu shule EMs ni maboya.

Hii yote ajipatie faraja kwa maamuzi magumu aliyoyafanya.

Anasahau kila mtu ana uhuru wa kufanya maamuzi ya kuendana na uwezo wake.

Hakuna aliewahi kuja na nyuzi hapa kuponda wazazi wanaosemesha watoto magomboko praimari ila nyie kwa sababu mna hangaika na maamuzi yenu kutafuta validation basi mnaanza kuponda watu mkiwaita wanapoteza pesa. Mnawaita wapoteza pesa wakati nyie wenyewe mmepangishia milupo kila mitaa ya kati.

UMASIKINI SIO KUKOSA PESA TU.
 
Jibu hoja wanapoteza pesa au hawapotezi? Pitia majumbani fanya utafiti wa vijana waliosomeshwa kwa mamilioni kwa sasa wanamchango gani kwa taifa? Wameweza kujiegemea? Wanaweza kutegemewa? Wazazi wamepata walichokitegemea?
 
Huyo jamaa tulioanza kumsoma humu kitambo ni kwamba alianza kwa kulalamika amekosa nafasi,mara kuna rushwa shule ya serikali yenye mtaala wa kiingereza baada ya kufulia na kumtoa binti yake EM.

Kapata wafuasi hohehahe wenzie humu wanafarijiana ujinga kila siku!
 
Jibu hoja wanapoteza pesa au hawapotezi? Pitia majumbani fanya utafiti wa vijana waliosomeshwa kwa mamilioni kwa sasa wanamchango gani kwa taifa? Wameweza kujiegemea? Wanaweza kutegemewa? Wazazi wamepata walichokitegemea?
Waliosoma st. kayumba wao wameyaweza haya? ukizingatia mazingira ya ufundishaji na kujifunzia huwezi kulinganisha hizo shule na hizi st. kayumba.....sema tu kama mfuko hauruhusu komaaa tu na hizi zetu za pwagu na pwaguzi.​
 
Jibu hoja wanapoteza pesa au hawapotezi? Pitia majumbani fanya utafiti wa vijana waliosomeshwa kwa mamilioni kwa sasa wanamchango gani kwa taifa? Wameweza kujiegemea? Wanaweza kutegemewa? Wazazi wamepata walichokitegemea?
Bro hao wengi waliopita huko serikalini wakafika form four wakapata four na zero wana fanya nini mtaani? Fanya pale ambapo mkono wako unafika. Usinilazimishe wala mimi nisikulazimishe.
Kwa kuangalia tu nina mtoto ambae najua jioni anafikaje shule na kuna huko wengine kila siku kwenye TV wameachwa na daladala na wakati mwingine hata mchana tu hajala. Usivilinganishe hivo vitu viwili hata siku moja. Acha wanachofundishwa darasani huduma tu wanzopata ni tofauti kabisa.
 
Jibu hoja wanapoteza pesa au hawapotezi? Pitia majumbani fanya utafiti wa vijana waliosomeshwa kwa mamilioni kwa sasa wanamchango gani kwa taifa? Wameweza kujiegemea? Wanaweza kutegemewa? Wazazi wamepata walichokitegemea?
Sijaelewa mkuu kwamba wale vijana waliojazana vituo vya mabasi na daladala walisoma Feza Boys na Girls?
 
Hata wangesoma nje ya nchi end product ni ile ile kifupi kama unataka kulipia basi uletwe mfumo tofauti wenye matokeo watu walipe ila kuipia huu unaopatikana bure kayumba ni kuibiwa mchana hivyo big no 👎
 
Yote haya yamesababishwa na serikali yetu kushindwa kung'amua lugha ya kiingereza itumike kufundishia shule zote za serikali.mfano wanaopakana na Kenya hasa tarime wengi Huwa wanasoma Kenya shule za serikali Kwa bei ya chini.Kiingereza kungekuwa kinatumika kama lugha rasimi ya kufundishia kusingekuwa na EM badala yake kungekuwa tu na international school
 
Nimesoma Shule za umma toka Primary Hadi University.Ni Master Tu ndiyo Nilifanya Private.Kuanza Kazi hasa private,NGO na GoT nikakutana na waliotoka special Schools.Kwa performance hakuna significant difference.Nilishakuwa boss wa baadhi ya Hao waliotoka special schools:Ukiacha Kingereza na utamaduni wa uzungu,Mengine ni ya kawaida.Watoto nimepeleka hizo special schools na magari ya Njano.Kwa Nchi yetu hatujafika Mahali pa kuiona hiyo tofauti kubwa ya kustahiki Malipo mara Kadhaa Kuliko public.Kwa hiyo binafsi special school mwisho la Saba,kisha anaingia public school Kiroho Safi.Nakumbuka niliingia F.5 (PCB) Public school,nkakutana na watt wa washua toka Dar,waliomaliza O Level zile shule za Kiingereza,Hadi unaogopa.Baada ya term ya kwanza Kwisha tukawa level.Kama watu wanatarajiwa kupambania Kazi za umma,hizi Ambazo nyaraka nyingi ni Kiswanglish,tumia pesa kwa Akili.Kama Unatarajia mwanao aingie Transnational Corps/Multinational Orgs,lipa.Kama mwanao ataingia kupambania machimbo ya Kariakoo,aende kokote Tu.Kuna dogo kamaliza F4 public school,anasubiri Majibu,Nimemwambia afanye field work Machimbo ya Kariakoo.Na ananiambia anaziona fursa za kutoboa.Akimaliza F6 nampeleka Field Mtwara kwenye Korosho ajifunze kuchabanga Korosho.Elimu inatakiwa ilete Majawabu ya Changamoto zetu.Hatuwezi kuendelea Kulipa gharama kubwa huku tunagombania remote na madogo na mipasho kwenye social media.
 
Yani unakuta mtu anakuja na theories sijui ame-google wapi, anaziunganisha unganisha ili tu muonekane mnaosomesha watu shule EMs ni maboya.

Hii yote ajipatie faraja kwa maamuzi magumu aliyoyafanya.

Anasahau kila mtu ana uhuru wa kufanya maamuzi ya kuendana na uwezo wake.

Hakuna aliewahi kuja na nyuzi hapa kuponda wazazi wanaosemesha watoto magomboko praimari ila nyie kwa sababu mna hangaika na maamuzi yenu kutafuta validation basi mnaanza kuponda watu mkiwaita wanapoteza pesa. Mnawaita wapoteza pesa wakati nyie wenyewe mmepangishia milupo kila mitaa ya kati.

UMASIKINI SIO KUKOSA PESA TU.
Mada ya hovyo thread Kama laki
 
Nimesoma Shule za umma toka Primary Hadi University.Ni Master Tu ndiyo Nilifanya Private.Kuanza Kazi hasa private,NGO na GoT nikakutana na waliotoka special Schools.Kwa performance hakuna significant difference.Nilishakuwa boss wa baadhi ya Hao waliotoka special schools:Ukiacha Kingereza na utamaduni wa uzungu,Mengine ni ya kawaida.Watoto nimepeleka hizo special schools na magari ya Njano.Kwa Nchi yetu hatujafika Mahali pa kuiona hiyo tofauti kubwa ya kustahiki Malipo mara Kadhaa Kuliko public.Kwa hiyo binafsi special school mwisho la Saba,kisha anaingia public school Kiroho Safi.Nakumbuka niliingia F.5 (PCB) Public school,nkakutana na watt wa washua toka Dar,waliomaliza O Level zile shule za Kiingereza,Hadi unaogopa.Baada ya term ya kwanza Kwisha tukawa level.Kama watu wanatarajiwa kupambania Kazi za umma,hizi Ambazo nyaraka nyingi ni Kiswanglish,tumia pesa kwa Akili.Kama Unatarajia mwanao aingie Transnational Corps/Multinational Orgs,lipa.Kama mwanao ataingia kupambania machimbo ya Kariakoo,aende kokote Tu.Kuna dogo kamaliza F4 public school,anasubiri Majibu,Nimemwambia afanye field work Machimbo ya Kariakoo.Na ananiambia anaziona fursa za kutoboa.Akimaliza F6 nampeleka Field Mtwara kwenye Korosho ajifunze kuchabanga Korosho.Elimu inatakiwa ilete Majawabu ya Changamoto zetu.Hatuwezi kuendelea Kulipa gharama kubwa huku tunagombania remote na madogo na mipasho kwenye social media.
Covax
 
Sahihi kabisa. Ukiona mtu anatumia muda na nguvu nyingi kuaminisha watu kuwa uamuzi/msimamo alio nao ni sahihi basi ni wazi kuwa hata yeye mwenyewe haamini kwenye huo uamuzi/msimamo ila ameuchukua tu kwa kuwa hana namna nyingine (HANA PESA).
 
Jibu hoja wanapoteza pesa au hawapotezi? Pitia majumbani fanya utafiti wa vijana waliosomeshwa kwa mamilioni kwa sasa wanamchango gani kwa taifa? Wameweza kujiegemea? Wanaweza kutegemewa? Wazazi wamepata walichokitegemea?
Haijalishi wanasaidia au Laa.mtu ana uwezo wa kumpeleka mtoto Wake EMS, Wewe inakuhusu Nini?
Sema Huna hela ya kusomesha huko
 
Back
Top Bottom