Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Yani unakuta mtu anakuja na theories sijui ame-google wapi, anaziunganisha unganisha ili tu muonekane mnaosomesha watu shule EMs ni maboya.
Hii yote ajipatie faraja kwa maamuzi magumu aliyoyafanya.
Anasahau kila mtu ana uhuru wa kufanya maamuzi ya kuendana na uwezo wake.
Hakuna aliewahi kuja na nyuzi hapa kuponda wazazi wanaosemesha watoto magomboko praimari ila nyie kwa sababu mna hangaika na maamuzi yenu kutafuta validation basi mnaanza kuponda watu mkiwaita wanapoteza pesa. Mnawaita wapoteza pesa wakati nyie wenyewe mmepangishia milupo kila mitaa ya kati.
UMASIKINI SIO KUKOSA PESA TU.