Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
HahahahEti shule ya msingi feza/Almuntaziri/Mzizima ni sawa na shule ya msingi msongola ndege, tandika primary school nk.
HahahahaPesa imekua ngumu kwao the wanakuja na justifications za kipuuzi sana....🤨
Pesa zao zinawahusu nini hata zikipotea?Jibu hoja wanapoteza pesa au hawapotezi? Pitia majumbani fanya utafiti wa vijana waliosomeshwa kwa mamilioni kwa sasa wanamchango gani kwa taifa? Wameweza kujiegemea? Wanaweza kutegemewa? Wazazi wamepata walichokitegemea?
Jibu hoja wanapoteza pesa au hawapotezi? Pitia majumbani fanya utafiti wa vijana waliosomeshwa kwa mamilioni kwa sasa wanamchango gani kwa taifa? Wameweza kujiegemea? Wanaweza kutegemewa? Wazazi wamepata walichokitegemea?
Bro hao wengi waliopita huko serikalini wakafika form four wakapata four na zero wana fanya nini mtaani? Fanya pale ambapo mkono wako unafika. Usinilazimishe wala mimi nisikulazimishe.Jibu hoja wanapoteza pesa au hawapotezi? Pitia majumbani fanya utafiti wa vijana waliosomeshwa kwa mamilioni kwa sasa wanamchango gani kwa taifa? Wameweza kujiegemea? Wanaweza kutegemewa? Wazazi wamepata walichokitegemea?
Sijaelewa mkuu kwamba wale vijana waliojazana vituo vya mabasi na daladala walisoma Feza Boys na Girls?Jibu hoja wanapoteza pesa au hawapotezi? Pitia majumbani fanya utafiti wa vijana waliosomeshwa kwa mamilioni kwa sasa wanamchango gani kwa taifa? Wameweza kujiegemea? Wanaweza kutegemewa? Wazazi wamepata walichokitegemea?
Hata wangesoma nje ya nchi end product ni ile ile kifupi kama unataka kulipia basi uletwe mfumo tofauti wenye matokeo watu walipe ila kuipia huu unaopatikana bure kayumba ni kuibiwa mchana hivyo big no 👎Sijaelewa mkuu kwamba wale vijana waliojazana vituo vya mabasi na daladala walisoma Feza Boys na Girls?
Mada ya hovyo thread Kama lakiYani unakuta mtu anakuja na theories sijui ame-google wapi, anaziunganisha unganisha ili tu muonekane mnaosomesha watu shule EMs ni maboya.
Hii yote ajipatie faraja kwa maamuzi magumu aliyoyafanya.
Anasahau kila mtu ana uhuru wa kufanya maamuzi ya kuendana na uwezo wake.
Hakuna aliewahi kuja na nyuzi hapa kuponda wazazi wanaosemesha watoto magomboko praimari ila nyie kwa sababu mna hangaika na maamuzi yenu kutafuta validation basi mnaanza kuponda watu mkiwaita wanapoteza pesa. Mnawaita wapoteza pesa wakati nyie wenyewe mmepangishia milupo kila mitaa ya kati.
UMASIKINI SIO KUKOSA PESA TU.
CovaxNimesoma Shule za umma toka Primary Hadi University.Ni Master Tu ndiyo Nilifanya Private.Kuanza Kazi hasa private,NGO na GoT nikakutana na waliotoka special Schools.Kwa performance hakuna significant difference.Nilishakuwa boss wa baadhi ya Hao waliotoka special schools:Ukiacha Kingereza na utamaduni wa uzungu,Mengine ni ya kawaida.Watoto nimepeleka hizo special schools na magari ya Njano.Kwa Nchi yetu hatujafika Mahali pa kuiona hiyo tofauti kubwa ya kustahiki Malipo mara Kadhaa Kuliko public.Kwa hiyo binafsi special school mwisho la Saba,kisha anaingia public school Kiroho Safi.Nakumbuka niliingia F.5 (PCB) Public school,nkakutana na watt wa washua toka Dar,waliomaliza O Level zile shule za Kiingereza,Hadi unaogopa.Baada ya term ya kwanza Kwisha tukawa level.Kama watu wanatarajiwa kupambania Kazi za umma,hizi Ambazo nyaraka nyingi ni Kiswanglish,tumia pesa kwa Akili.Kama Unatarajia mwanao aingie Transnational Corps/Multinational Orgs,lipa.Kama mwanao ataingia kupambania machimbo ya Kariakoo,aende kokote Tu.Kuna dogo kamaliza F4 public school,anasubiri Majibu,Nimemwambia afanye field work Machimbo ya Kariakoo.Na ananiambia anaziona fursa za kutoboa.Akimaliza F6 nampeleka Field Mtwara kwenye Korosho ajifunze kuchabanga Korosho.Elimu inatakiwa ilete Majawabu ya Changamoto zetu.Hatuwezi kuendelea Kulipa gharama kubwa huku tunagombania remote na madogo na mipasho kwenye social media.
Haijalishi wanasaidia au Laa.mtu ana uwezo wa kumpeleka mtoto Wake EMS, Wewe inakuhusu Nini?Jibu hoja wanapoteza pesa au hawapotezi? Pitia majumbani fanya utafiti wa vijana waliosomeshwa kwa mamilioni kwa sasa wanamchango gani kwa taifa? Wameweza kujiegemea? Wanaweza kutegemewa? Wazazi wamepata walichokitegemea?