Msipende kujitafutia faraja humu kwa maamuzi mliofanya ya kutoa watoto English Elementaries na kuwapeleka kayumba. Hakika mna Inferiority complex

Hakika mkuu
 
Mkuu unachamba kumzidi Hadija Kopa. Lazima nikupe maua yako.
 
You are the true son of your Father. Wewe jamaa una akili nyingi mno kiasi unaweza hata kuwaibia kura CCM.

This is what I have been talking about . Aisee ambae hatoelewa hoja yako he will never be wise again
 
Mwanamke una akili nyingi Sana wewe. I like the way u think
 
Jibu hoja wanapoteza pesa au hawapotezi? Pitia majumbani fanya utafiti wa vijana waliosomeshwa kwa mamilioni kwa sasa wanamchango gani kwa taifa? Wameweza kujiegemea? Wanaweza kutegemewa? Wazazi wamepata walichokitegemea?
Wote tumesoma nao vyuoni na vilevile tunafanya nao kazi hizi hizi
 
Jibu hoja wanapoteza pesa au hawapotezi? Pitia majumbani fanya utafiti wa vijana waliosomeshwa kwa mamilioni kwa sasa wanamchango gani kwa taifa? Wameweza kujiegemea? Wanaweza kutegemewa? Wazazi wamepata walichokitegemea?
Unataka kijana alietoka chuo moja kwa moja ajitegemee?

UKiweza mpeleke mwanao pvt, akimaliza anaweza amua asideal na alivyosoma kabisa an
 
You are the true son of your Father. Wewe jamaa una akili nyingi mno kiasi unaweza hata kuwaibia kura CCM.

This is what I have been talking about . Aisee ambae hatoelewa hoja yako he will never be wise again
Hicho alichosema @rorsni sahihi kabisa
 
Mkuu,

Kama kila mtu ana uhuru wa kufanya maamuzi ya kuendana na uwezo wake mbona huwaachii wao kufanya maamuzi, hata kama ni ya kujipa faraja, kutokana na uwezo wao ama wa kifedha ama wa kiakili?

Ukisema uwapotezee hawa wanajifariji tu, kwa kanuni yako hiyo hiyo ya kila mtu ana uhuru wa kufanya maamuzi ya kuendana na uwezo wake, ama wa kifedha, ama wa kiakili, utapungukiwa nini?

Kwa nini hii inakuwa ligi?
 
100% Fact
 
Mbona hili umeliandikia nyuzi sana. Si kila mtu ana maamuzi juu ya elimu ya mwanae vile atakavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…