Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
- Thread starter
- #41
Hakika mkuuMilioni Moja na nusu Hadi milioni mbili na nusu ni Hela kubwa Kwa mwaka?hiyo ni Hela ndogo sana sema tu watanzania wengi ni masikini sana wa kupindukia ndiyo maana wanaona hizi shule za EM ni gharama wakati hakuna.Zenye gharama ni International kama IST ambayo Kwa mwaka Huwa inafika Hadi milioni sabini