Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Kashaija bwana sasa hapa tuchangie nn
Habari yakoMsipochangia mada hii, leo mchana, majira ya saa 6.02 nitakula sumu. Mpaka mtu alalamike ndio mchangie? Acheni hizo MMU!

Lakini kwa nini nijiue? I will get TZS 100,000 na kwenda nazo baa, namwaga kinywaji cha nguvu, naleta mada, lazima watu watachangia. Walevi wanamsapoti anayezungusha raundi hata kama pumba.

Sijiui, hata msipochangia; dawa ndiyo hiyo.
Nitachangia saa 6.03 baada wewe kula hiyo sumu.

Nimeshapata TZS 100,000. Sijiui, msipochangia nitapeleka mada baa. Najua watu wana roho mbaya watakataa kuchangia makusudi ili nijiue.
Msipochangia mada hii, leo mchana, majira ya saa 6.02 nitakula sumu. Mpaka mtu alalamike ndio mchangie? Acheni hizo MMU!
Lakini kwa nini nijiue? I will get TZS 100,000 na kwenda nazo baa, namwaga kinywaji cha nguvu, naleta mada, lazima watu watachangia. Walevi wanamsapoti anayezungusha raundi hata kama pumba.
Sijiui, hata msipochangia; dawa ndiyo hiyo.
Habari yako
PUMZIKO LA MILELE KAKA..Hakikisha hakuna maji,maziwa ama zahanati ya karibu unapokoroga sumu yako.
Mh,actualy sumu nzuri kwa kunywa ni cynide ama arsenic,very reliable na inafanya kazi vizuri sana we mwenyewe utaikubali.by da way mazishi yako yanafanyika wapi.i want to come and pay ma last respect.wish u a NICE DYING BUDDY
Haya ndizo athari za KULALA Baa na kuamkia GUEST Bubu!
BTW: Mbona jamii ya mashoga inaongezeka kwa haraka sana hapa Tanzania?