Msipochangamia mada yangu ...

Msipochangamia mada yangu ...

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
2,696
Reaction score
740
Msipochangia mada hii, leo mchana, majira ya saa 6.02 nitakula sumu. Mpaka mtu alalamike ndio mchangie? Acheni hizo MMU!

Lakini kwa nini nijiue? I will get TZS 100,000 na kwenda nazo baa, namwaga kinywaji cha nguvu, naleta mada, lazima watu watachangia. Walevi wanamsapoti anayezungusha raundi hata kama pumba.

Sijiui, hata msipochangia; dawa ndiyo hiyo.
 
Nitachangia saa 6.03 baada wewe kula hiyo sumu.
 
Msipochangia mada hii, leo mchana, majira ya saa 6.02 nitakula sumu. Mpaka mtu alalamike ndio mchangie? Acheni hizo MMU! <br />
<br />
Lakini kwa nini nijiue? I will get TZS 100,000 na kwenda nazo baa, namwaga kinywaji cha nguvu, naleta mada, lazima watu watachangia. Walevi wanamsapoti anayezungusha raundi hata kama pumba.<br />
<br />
Sijiui, hata msipochangia; dawa ndiyo hiyo.
Habari yako
 
PUMZIKO LA MILELE KAKA..Hakikisha hakuna maji,maziwa ama zahanati ya karibu unapokoroga sumu yako.
 
Nitachangia saa 6.03 baada wewe kula hiyo sumu.

Nimeshapata TZS 100,000. Sijiui, msipochangia nitapeleka mada baa. Najua watu wana roho mbaya watakataa kuchangia makusudi ili nijiue.
 
Mh,actualy sumu nzuri kwa kunywa ni cynide ama arsenic,very reliable na inafanya kazi vizuri sana we mwenyewe utaikubali.by da way mazishi yako yanafanyika wapi.i want to come and pay ma last respect.wish u a NICE DYING BUDDY
 
Usifanye hivyo mkuu bado taifa hili linakuhiji, na jamii kwa ujumla, yaani usijaribu.
 
Kumbe hata ijumaa zina Hangovers?
Umeamkia Bar gani?
 
Hebu subiri kidogo,hayo maunywaji yatakuapi bro you know am not actually a teetotal nije nikupe company bro it isnot gud to die lonely
 
Mimi nimeshachangia hivyo dhambi ya kifo chako nimenawa, usife
 
Msipochangia mada hii, leo mchana, majira ya saa 6.02 nitakula sumu. Mpaka mtu alalamike ndio mchangie? Acheni hizo MMU!

Lakini kwa nini nijiue? I will get TZS 100,000 na kwenda nazo baa, namwaga kinywaji cha nguvu, naleta mada, lazima watu watachangia. Walevi wanamsapoti anayezungusha raundi hata kama pumba.

Sijiui, hata msipochangia; dawa ndiyo hiyo.

Haya ndizo athari za KULALA Baa na kuamkia GUEST Bubu!

BTW: Mbona jamii ya mashoga inaongezeka kwa haraka sana hapa Tanzania?
 
Mh,actualy sumu nzuri kwa kunywa ni cynide ama arsenic,very reliable na inafanya kazi vizuri sana we mwenyewe utaikubali.by da way mazishi yako yanafanyika wapi.i want to come and pay ma last respect.wish u a NICE DYING BUDDY

Nshapata hela, sijiui tena. Msipochangia nafuata michango baa.
 
Back
Top Bottom