Msipotezewe muda hizi ndizo sababu Kuu zinazopelekea Simba SC kufanya vibaya kwa muda huu mfupi na itaharibu mno mbeleni!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Wachezaji hawajalipwa baadhi ya ' Malimbikizo ' yao waliyoahidiwa huko nyuma.
2. Mfadhili Tegemezi amesusa kwa muda baada ya kuona Simba wanamchanganya kumpa Timu
3. Kuna Ubaguzi mkubwa kati ya Wachezaji hasa wale wa Kigeni na hawa Wazawa
4. Viongozi Wawili Waandamizi wa Simba SC wana Ugomvi wa Kimaslahi na wanaharibiana
5. Kuna Kiongozi mmoja ' anakula ' na Kocha Djuma 10% ' anachomesha ' Timu iharibu ili apewe Djuma
6. Kocha Djuma ana Wachezaji wake First Eleven pamoja na Aussems nae ana ya Kwake
7. Lile Kundi lisilo na Furaha ndani ya Simba SC linajikita Kiuhujumu Timu ' Kishirikina '.

Kazi ipo!

Nawasilisha.
 
Hebu tupe na Totenharm Hospurs wamepoteza mechi 2 mfululizo, maana jamaa kwa kupenda kuzijua timu za Tz tusaidiea na hiyo ya kaskazini mwa London
 
1. Wachezaji hawajalipwa baadhi ya ' Malimbikizo ' yao waliyoahidiwa huko nyuma.
2. Mfadhili Tegemezi amesusa kwa muda baada ya kuona Simba wanamchanganya kumpa Timu
3. Kuna Ubaguzi mkubwa kati ya Wachezaji hasa wale wa Kigeni na hawa Wazawa
4. Viongozi Wawili Waandamizi wa Simba SC wana Ugomvi wa Kimaslahi na wanaharibiana
5. Kuna Kiongozi mmoja ' anakula ' na Kocha Djuma 10% ' anachomesha ' Timu iharibu ili apewe Djuma
6. Kocha Djuma ana Wachezaji wake First Eleven pamoja na Aussems nae ana ya Kwake
7. Lile Kundi lisilo na Furaha ndani ya Simba SC linajikita Kiuhujumu Timu ' Kishirikina '.

Kazi ipo!

Nawasilisha.
Acheni ubabaishaji na visingizio, wachezaji wanajituma ila kufungwa na kushinda ndio matokeo ya mpira. MAN U wanafungwa hawana visingizio sisi uku vitimj vyetu vikifungwa maneno meeengi.mpira aupo hivyo lazima muheshimu wapinzani wenu.
 
1. Wachezaji hawajalipwa baadhi ya ' Malimbikizo ' yao waliyoahidiwa huko nyuma.
2. Mfadhili Tegemezi amesusa kwa muda baada ya kuona Simba wanamchanganya kumpa Timu
3. Kuna Ubaguzi mkubwa kati ya Wachezaji hasa wale wa Kigeni na hawa Wazawa
4. Viongozi Wawili Waandamizi wa Simba SC wana Ugomvi wa Kimaslahi na wanaharibiana
5. Kuna Kiongozi mmoja ' anakula ' na Kocha Djuma 10% ' anachomesha ' Timu iharibu ili apewe Djuma
6. Kocha Djuma ana Wachezaji wake First Eleven pamoja na Aussems nae ana ya Kwake
7. Lile Kundi lisilo na Furaha ndani ya Simba SC linajikita Kiuhujumu Timu ' Kishirikina '.

Kazi ipo!

Nawasilisha.
Wacha ramli chonganishi mkuu, haifai hats kidogo.
 
Nafikiri ili Simba iondoe mgogoro wa uwezo wa huyu Djuma....wampe timu hata kama mambo hayatakuwa mazuri ili tuondoe maashabiki maandazi wanaoangalia mtu mmoja kuliko kuangalia timu nzima.
 
1. Wachezaji hawajalipwa baadhi ya ' Malimbikizo ' yao waliyoahidiwa huko nyuma.
2. Mfadhili Tegemezi amesusa kwa muda baada ya kuona Simba wanamchanganya kumpa Timu
3. Kuna Ubaguzi mkubwa kati ya Wachezaji hasa wale wa Kigeni na hawa Wazawa
4. Viongozi Wawili Waandamizi wa Simba SC wana Ugomvi wa Kimaslahi na wanaharibiana
5. Kuna Kiongozi mmoja ' anakula ' na Kocha Djuma 10% ' anachomesha ' Timu iharibu ili apewe Djuma
6. Kocha Djuma ana Wachezaji wake First Eleven pamoja na Aussems nae ana ya Kwake
7. Lile Kundi lisilo na Furaha ndani ya Simba SC linajikita Kiuhujumu Timu ' Kishirikina '.

Kazi ipo!

Nawasilisha.
Na wakumbuke kama MO anadhamira ya kweli basi angekomaaga na Singida United enzi hizoooooo
 
Back
Top Bottom