GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Wachezaji hawajalipwa baadhi ya ' Malimbikizo ' yao waliyoahidiwa huko nyuma.
2. Mfadhili Tegemezi amesusa kwa muda baada ya kuona Simba wanamchanganya kumpa Timu
3. Kuna Ubaguzi mkubwa kati ya Wachezaji hasa wale wa Kigeni na hawa Wazawa
4. Viongozi Wawili Waandamizi wa Simba SC wana Ugomvi wa Kimaslahi na wanaharibiana
5. Kuna Kiongozi mmoja ' anakula ' na Kocha Djuma 10% ' anachomesha ' Timu iharibu ili apewe Djuma
6. Kocha Djuma ana Wachezaji wake First Eleven pamoja na Aussems nae ana ya Kwake
7. Lile Kundi lisilo na Furaha ndani ya Simba SC linajikita Kiuhujumu Timu ' Kishirikina '.
Kazi ipo!
Nawasilisha.