GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tutawagonga hasa***** na washuke daraja tu...
Timu limekuwa bovu kwelikweli kulitazama na siku wakikutana na yanga watakoga nyingi sana...
Hebu tupe na Totenharm Hospurs wamepoteza mechi 2 mfululizo, maana jamaa kwa kupenda kuzijua timu za Tz tusaidiea na hiyo ya kaskazini mwa London1. Wachezaji hawajalipwa baadhi ya ' Malimbikizo ' yao waliyoahidiwa huko nyuma.
2. Mfadhili Tegemezi amesusa kwa muda baada ya kuona Simba wanamchanganya kumpa Timu
3. Kuna Ubaguzi mkubwa kati ya Wachezaji hasa wale wa Kigeni na hawa Wazawa
4. Viongozi Wawili Waandamizi wa Simba SC wana Ugomvi wa Kimaslahi na wanaharibiana
5. Kuna Kiongozi mmoja ' anakula ' na Kocha Djuma 10% ' anachomesha ' Timu iharibu ili apewe Djuma
6. Kocha Djuma ana Wachezaji wake First Eleven pamoja na Aussems nae ana ya Kwake
7. Lile Kundi lisilo na Furaha ndani ya Simba SC linajikita Kiuhujumu Timu ' Kishirikina '.
Kazi ipo!
Nawasilisha.
Acheni ubabaishaji na visingizio, wachezaji wanajituma ila kufungwa na kushinda ndio matokeo ya mpira. MAN U wanafungwa hawana visingizio sisi uku vitimj vyetu vikifungwa maneno meeengi.mpira aupo hivyo lazima muheshimu wapinzani wenu.1. Wachezaji hawajalipwa baadhi ya ' Malimbikizo ' yao waliyoahidiwa huko nyuma.
2. Mfadhili Tegemezi amesusa kwa muda baada ya kuona Simba wanamchanganya kumpa Timu
3. Kuna Ubaguzi mkubwa kati ya Wachezaji hasa wale wa Kigeni na hawa Wazawa
4. Viongozi Wawili Waandamizi wa Simba SC wana Ugomvi wa Kimaslahi na wanaharibiana
5. Kuna Kiongozi mmoja ' anakula ' na Kocha Djuma 10% ' anachomesha ' Timu iharibu ili apewe Djuma
6. Kocha Djuma ana Wachezaji wake First Eleven pamoja na Aussems nae ana ya Kwake
7. Lile Kundi lisilo na Furaha ndani ya Simba SC linajikita Kiuhujumu Timu ' Kishirikina '.
Kazi ipo!
Nawasilisha.
Wacha ramli chonganishi mkuu, haifai hats kidogo.1. Wachezaji hawajalipwa baadhi ya ' Malimbikizo ' yao waliyoahidiwa huko nyuma.
2. Mfadhili Tegemezi amesusa kwa muda baada ya kuona Simba wanamchanganya kumpa Timu
3. Kuna Ubaguzi mkubwa kati ya Wachezaji hasa wale wa Kigeni na hawa Wazawa
4. Viongozi Wawili Waandamizi wa Simba SC wana Ugomvi wa Kimaslahi na wanaharibiana
5. Kuna Kiongozi mmoja ' anakula ' na Kocha Djuma 10% ' anachomesha ' Timu iharibu ili apewe Djuma
6. Kocha Djuma ana Wachezaji wake First Eleven pamoja na Aussems nae ana ya Kwake
7. Lile Kundi lisilo na Furaha ndani ya Simba SC linajikita Kiuhujumu Timu ' Kishirikina '.
Kazi ipo!
Nawasilisha.
***** na washuke daraja tu...
Timu limekuwa bovu kwelikweli kulitazama na siku wakikutana na yanga watakoga nyingi sana...
Hujawai kuvutiwa na Djuma, umeshaleta nyuzi nyingi kumsema, unaweza kuwa sahihi au kinyume chakeKocha Djuma ana Wachezaji wake First Eleven pamoja na Aussems nae ana ya Kwake
Mtawagonga sio utatugonga....Tutawagonga hasa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Siyo kila mzungu ni kocha wengine ni mashahid Wa yehova
Na wakumbuke kama MO anadhamira ya kweli basi angekomaaga na Singida United enzi hizoooooo1. Wachezaji hawajalipwa baadhi ya ' Malimbikizo ' yao waliyoahidiwa huko nyuma.