Msipotezewe muda hizi ndizo sababu Kuu zinazopelekea Simba SC kufanya vibaya kwa muda huu mfupi na itaharibu mno mbeleni!

Tatizo ni MO anawadanganya sana washabiki wa Simba.. Wachexaji maveterani ksma Wawa na Kagere amewasajili kwa shilingi laki tano..,halafu znawadanganya washabiki wa simba eti amewasajili kwa bilioni moja... MO ni tapeli
 
HAKUNAAA HUJUMA MKUU G
SHIDA VIJANA N LUGHA NA MASOUD N RAHISI KUELEWEKA KAZI KUBWA IPOMBELENI WHY DAR WASHINDE MKOANI KIWAKE...

#YAJAYOOOYANAFURAHISHASANAATU
 
Acheni ubabaishaji na visingizio, wachezaji wanajituma ila kufungwa na kushinda ndio matokeo ya mpira. MAN U wanafungwa hawana visingizio sisi uku vitimj vyetu vikifungwa maneno meeengi.mpira aupo hivyo lazima muheshimu wapinzani wenu.
Hapana asee Simba kuna shida..
 
HAKUNAAA HUJUMA MKUU G
SHIDA VIJANA N LUGHA NA MASOUD N RAHISI KUELEWEKA KAZI KUBWA IPOMBELENI WHY DAR WASHINDE MKOANI KIWAKE...

#YAJAYOOOYANAFURAHISHASANAATU
Yajayo yanasononesha!!!
 
Hebu tuambie na Arsenal, westham mana wamefungwa mfulilizo
 
Ligi ya kindezi sana sijawahi kuona...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…