...msipotongozwa huwa mnajisikiaje?

vipi ana viga mzuri mwambie apige 0767xxxxxx...but kiumri mi ni mdogo bt i feel am 32yr...kiakili nimekomaa experiencekaly nieshakuwa na mahusiano na mtu ambae is older than me so its okay.if you have money 36 is nothing!isioshe age is just a number ww mwambie atapata my mama once told me kila mtu atapata atakaempenda so mwambie awe patience asiwe desperate asije akaokota garasha
 
Naona wa dada wameamua kukaushia kujibu hoja ya msingi badala yake wanajadili umri tu.
Mkuu, huwa wanajisikia kupungukiwa sana. Wanawake wameumbwa kuwa appreciated. Kama Adam alipomwona Eva na akam-appreciate, ndivyo wanawake wote walivyo. Kwa hiyo wakiikosa hiyo huwa inaleta maumivu.
Ingawa kiwango cha kuumia kinaweza kutofautiana, lakini hiyo ndo hali halisi kwa ujumla.
 

Kwanza kabisa sema baadhi wanapungukiwa kwasababu sio wote. Kupungukiwa kunatokana na kutojiamini...yani kama mtu hajiamini kwamba yeye ni mzuri...anavutia..analipa mpaka aone mtu ameonyesha kuvutiwa nae ndio asipofuatwa na mwanaume akapewa mistari anaanza kutapa tapa kwamba mimi sio hivi...mara sio vile.

Kuhusu kua appreciated kwani kutongozwa ndio kua appreaciated????
 

Mwambie ani Pm.
Mimi ntamtongoza hata kumdanganya ikiwezekana.
 
nachopendea JF hata lugha wanasahihisha,kweli sio binti at that age,wakati naandika nlikuwa fasta kuwahi daladala iliyokuwa inanikaribia

Huyo ni binti tu inategemea unamwangalia kutoka kwenye mtazamo upi. Bahati mbaya wengine tulishafungwa zile pingu zetu lakini ingekuwa ni enzi zile za kuoa ningetafuta wa umri huo huwa wametulia kuliko wale wenye umri wa ndani ya twenties.
 

Huyu sio binti ni bibi
 

Lizzy, NAAMINI ni njia mojawapo kuonyesha umekuwa appreciated
 
mimi huona sawa tu.angedanganywa angelalamika.mwambie atongoze yeye

Kisukari, easy saidi than reality. wanawake wote tunapenda sana kuwa adored, kutongozwa, kusifiwa kuwa tumependeza, na sisi ni wazuri.

Men know our weakness (mentioned above), and more often than not, exploit it for their benefits...
 
Mimi nadhani kwa kuwa wewe unajua matatizo yake vizuri zaidi, unaonaje urafiki wenu mkau-extend kidogo mkawa wapenzi ili umsaidie hilo tatizo lake? Urafiki ni kufaana mkuu siyo kushauriana maneno makavu tu.
hahahaa!awali hatukuwa marafiki wakubwa,ndio tuka-xtend na sasa ndio tumekuwa wakubwa!hapo ndio mwisho wa xtension
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…