...msipotongozwa huwa mnajisikiaje?

...msipotongozwa huwa mnajisikiaje?

Kisukari, easy saidi than reality. wanawake wote tunapenda sana kuwa adored, kutongozwa, kusifiwa kuwa tumependeza, na sisi ni wazuri.

Men know our weakness (mentioned above), and more often than not, exploit it for their benefits...
nakubaliana na wewe 100 perc na ndio maana niliweka post hii kudhibitisha hisia zangu,thakyu
 
Naona wa dada wameamua kukaushia kujibu hoja ya msingi badala yake wanajadili umri tu.
Mkuu, huwa wanajisikia kupungukiwa sana. Wanawake wameumbwa kuwa appreciated. Kama Adam alipomwona Eva na akam-appreciate, ndivyo wanawake wote walivyo. Kwa hiyo wakiikosa hiyo huwa inaleta maumivu.
Ingawa kiwango cha kuumia kinaweza kutofautiana, lakini hiyo ndo hali halisi kwa ujumla.
kweli,hatamimi naona wanarukaruka tu kutujuza,labda Lizzy angalau amefunguka kidogo
 
mtu unakaaje kuwaza hujatongozwa kwa muda gani????????????? huu ni upweke au kutokujiamini?
 
mimi huona sawa tu.angedanganywa angelalamika.mwambie atongoze yeye

kisukari sasa we umeamua aanze yeye kutongoza nae atakua anaogopa ndio maana anaenda kwenye maombi
na mawazo ya kwenda kwa mganga.............
 
labda hatongozeki! Jamani mhurumie mwenzenu (binti wa watu) akina The Boss, The Finest nk! hata kwa kumfanya Infidelity, lol!
 
wanawake,hivi huwa mnajisikia wanaume wasipowatongoza?kuna binti rafiki yangu na huwa tunashauriana mengi,amenipa malalamiko na amekuwa na majonzi katika maisha yake, kuwa ni muda sasa,yapata miaka 3 toka ameachana na x wake lakini cha ajabu hakuna mwingine aliyejitokeza hata wa kumdanganya tu kuwa anampenda!anajihisi upweke wa ajabu lakini ndio hivyo tena!!sasa anafikiria kwenda hata kwa wataalamu kwani kama kusali anahisi imefikia kikomo!ana miaka 36 na kwa kweli ni mtafutaji mzuri wa fedha hivyo maisha yake hayamshindi!tumshaurini wadau,afanyaje sasa?
Mpe pole mwambie ani-PM nitampa msaada wa kutosha
 
Nitumie no. yake nimpatie jamaa yng amtongoze ili kutoa gundu.
 
Duh! Mi mtu akinitongoza naona amenishushia heshima yangu hasa kama huyo mtu tayari yupo kwenye mahusiano au anajua mimi nipo kwenye mahusiano.
Kutongozwa sometimes ni dharau tu.
 
Duh! Mi mtu akinitongoza naona amenishushia heshima yangu hasa kama huyo mtu tayari yupo kwenye mahusiano au anajua mimi nipo kwenye mahusiano.
Kutongozwa sometimes ni dharau tu.
eeeh! ?
 
Back
Top Bottom