...msipotongozwa huwa mnajisikiaje?

Kisukari, easy saidi than reality. wanawake wote tunapenda sana kuwa adored, kutongozwa, kusifiwa kuwa tumependeza, na sisi ni wazuri.

Men know our weakness (mentioned above), and more often than not, exploit it for their benefits...
nakubaliana na wewe 100 perc na ndio maana niliweka post hii kudhibitisha hisia zangu,thakyu
 
kweli,hatamimi naona wanarukaruka tu kutujuza,labda Lizzy angalau amefunguka kidogo
 
mtu unakaaje kuwaza hujatongozwa kwa muda gani????????????? huu ni upweke au kutokujiamini?
 
mimi huona sawa tu.angedanganywa angelalamika.mwambie atongoze yeye

kisukari sasa we umeamua aanze yeye kutongoza nae atakua anaogopa ndio maana anaenda kwenye maombi
na mawazo ya kwenda kwa mganga.............
 
labda hatongozeki! Jamani mhurumie mwenzenu (binti wa watu) akina The Boss, The Finest nk! hata kwa kumfanya Infidelity, lol!
 
Mpe pole mwambie ani-PM nitampa msaada wa kutosha
 
Nitumie no. yake nimpatie jamaa yng amtongoze ili kutoa gundu.
 
Duh! Mi mtu akinitongoza naona amenishushia heshima yangu hasa kama huyo mtu tayari yupo kwenye mahusiano au anajua mimi nipo kwenye mahusiano.
Kutongozwa sometimes ni dharau tu.
 
Duh! Mi mtu akinitongoza naona amenishushia heshima yangu hasa kama huyo mtu tayari yupo kwenye mahusiano au anajua mimi nipo kwenye mahusiano.
Kutongozwa sometimes ni dharau tu.
eeeh! ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…