...msipotongozwa huwa mnajisikiaje?

Ili ajue uko kwenye mahusiano ni lazima akutongoze ndipo ww umfahamishe kuwa uko kwenye mahusiano! Upo mpaka hapo husninyo?
Duh! Mi mtu akinitongoza naona amenishushia heshima yangu hasa kama huyo mtu tayari yupo kwenye mahusiano au anajua mimi nipo kwenye mahusiano.
Kutongozwa sometimes ni dharau tu.
 
Ili ajue uko kwenye mahusiano ni lazima akutongoze ndipo ww umfahamishe kuwa uko kwenye mahusiano! Upo mpaka hapo husninyo?

mambo mengine sio hadi uambiwe. Kama masikio hayasikii hata macho hayaoni?
Off topic: bado unafatilia comments zangu?
 
nice one,elimu nzuri umeimwaga!mwana,am so dam braaaaack
 
Kutongozwa muhimu kwa mwanamke na hivi yupo 36 and biological clock is ticking,hapo anawaza atapata hata mwenza kweli ,nway mwambie ajichuchuze na kufanya yafuatayo
1.Ajifanyie make over cz inawezekana yupo busy na kutafuta pesa hadi anasahau kujiweka kidada na kuwa attractive,asivae mavazi ya kimama na awe msafi wa kupendeza
2. Ajiweke friendly and approchable in a good way.cz inawezekana yupo serious sana hadi wanaume wanamuogopa.
3.Asipende kujionyesha ana pesa sana ,asilizungumzie hili hadi inapobidi maana wanaume saa ingine wanaogopa mwanamke mwenye mali kumshinda
4.Afanye sala ili aweze pata mwenza mwema
5.Atembelee social events kuweza kukutana na watu,maana inawezekana yeye anashinda tu kutafuta pese hana hata muda wa kuhudhulia sherehe,kanisani,muziki ,beach nk

Mwambie afanye hayo then atupe majibu
 
At 36 Mhhh, huyo Vijana wakimuona wanapiga chenga, chance imesalia, NYUMBA NDOGO kwa raha zake!!!
 
Yuko mmoja nasikia kapitisha mileage pia, alienda kwa Mganga, akalalamika, kumbe mganga tapeli. Alikula pesa , akapanga Masela mtaani, wakamtongoza na kumega vitu mpaka dada akarudi kwa Mganga eti ooohhhh hio DAWA ni kali sana!!!, sitoweza, punguza ukali!!!!!. Mganga kamwambia hio dawa ikishawekwa haitopoleki.
 
Hahahaha!!! Chiko hiyo kali mwana
 

chiko wemkali
 

Ha ha ha ha ha mweeeehhhh nilikuwa nimenuna sasa nimecheka mpaka basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…