Msisahau ku-update Android zenu kwenda Android 13

Mhhhhh, mkuu nina mashaka na unachokisema.

Mwaka 2019/20 nilikua natumia S10+ na function ya Mult window ama split screen ilikuwepo wewe unasema hukuiona?

Umenipa mashaka na maelezo yako.
 
Kwenye update settings weka never na notification zima[emoji1787][emoji1787] masimu mengine ukiigusa tu ndio umeizima, tunayatumia tu kama ya urithi
Nimetafuta sana hii option sijabahatika kuiona nangoja kexho linigongee notification nilipige pin mana ku update naweza pata mazonge tena pesa ngumu kununua cm asaiv unplanned
 
We jamaa inaelekea roho imekuuma sana uliposikia Xiaomi alikuwa na hiyo feature kabla[emoji38][emoji38]
Na bado Xiaomi 13 Ultra ikitoka ndio utajua hujui [emoji23][emoji23]
 
Nilitaka kuongea nikahisi mmbea yaani toka redmi note 4a huko hizo feature tunadunda nazo xiaomi ni nyoko sana, ukiondoka uchawi wa samsung kwenye kioo hakuna anachokosa au samsung kumshinda xiaomi
Wewe ndio umeongea. Samsung anawin katika vioo hasa katika simu zake za upper Mid range hadi high end. Kwenye lower budget phones hamna kitu ukilinganisha ba simu za budget kama Honor series, Redmi na Oppo.
Kingine ambacho Sammy anasimama ni camera ila nje ya hapo stock UI yake ni ya kawaida sana
 
Laiti xiaomi asingekutana na kizuizi cha bwana gugo kumfosi atumie google dialler and sms kwa global version hakuna kampuni duniani ingemshika aisee .Ila all in all custom rom zipo unaishi xiaomi siku akija kuijua siri ya samsung kwenye vioo wallah naapa kisukuma (butababa ) atajua hajui xiaomi forever .
 
Nilitaka kuongea nikahisi mmbea yaani toka redmi note 4a huko hizo feature tunadunda nazo xiaomi ni nyoko sana, ukiondoka uchawi wa samsung kwenye kioo hakuna anachokosa au samsung kumshinda xiaomi
Mkuu, mbona hata comparison zinaonesha kioo cha Xiaomi 13 Pro ni bora kuliko cha Samsung Galaxy S22 Ultra. Sehemu ambayo Samsung anampita Xiaomi ni software sanasana, tena software yenyewe bado hazijaachana parefu.
 
Oppo wana udambwi mwingi sana samsung hawan na ndio maan naikubali saana coloros iko bomba sana muonekan wake unavutia yani usiomb ukute oppo afu ina amoled screen ase ni tamu mno
 
Japo sijawah kutumiaa sm xiaomi ila inaonekana wako vzr sana eeh kulingana na maelez yako??
 
Hakuna UI bora kwenye simu za Android kuliko One UI ya Samsung, hakuna.

Hizo oxygen os, sijui MIUI, color OS sijui nani hazimfikii Samsung.

Ile fluidity ya One UI, mpangilio wa apps, visual impression na mambo mengine mengi haina mfano.
 
Oppo wana udambwi mwingi sana samsung hawan na ndio maan naikubali saana coloros iko bomba sana muonekan wake unavutia yani usiomb ukute oppo afu ina amoled screen ase ni tamu mno
Hizo color sijui nini bado sana kwa One UI. Acheni kujifariji na simu za viwango vya kawaida.

Xiami, Oppo, Redme nk bado sana kumfikia Samsung. Samsung anawazidi kila kitu, kila kitu. Yuko mbali sana.

Ukipata hela kwenye Android nunua Samsung, ukikosa hela ukapata kidogo nunua hizo Xiaomi, Oppo nk na ukikosa hela kabisa nunua tecno.
 
Nenda kafuatilie comparison
Xiaomi 13 Pro vs Samsung Galaxy S22 Ultra
Xiaomi 12S Ultra vs Samsung Galaxy S22 Ultra
Xiaomi 13 Pro vs Google Pixel 7 Pro
Halafu ndo uje tena kuongea ulichokiongea hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…