Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Kwani pure Android ya Google Pixel na hiyo One UI ya Samsung ipi ni software bora[emoji23][emoji23]Hakuna UI bora kwenye simu za Android kuliko One UI ya Samsung, hakuna.
Hizo oxygen os, sijui MIUI, color OS sijui nani hazimfikii Samsung.
Ile fluidity ya One UI, mpangilio wa apps, visual impression na mambo mengine mengi haina mfano.
Again inajulikana na ipo wazi kuwa One UI ni bora kuliko ColorOS, MIUI, Realme UI, etc. Lakini vipi kuhusu Stock Android[emoji41][emoji41]