Je waliomteka ndugu yake wanafanya vitendo vya kigaidi pia?Alichosema Kanali Polepole leo kwa maoni yangu ni kuwa ametangaza kuanza matendo ya Kigaidi dhidi ya wote waliohusika kumteka ndugu yake.
Akiachwa akaanza atapata wa kumuunga mkono. Tuwe makini tunaweza kuzalisha kundi la waasi siku sio nyingi