Sio kila kitu cha kushangilia wapambe wa Mama wale wale walio mwondoa Nchimbi sasa wameanza taratibu za kutaka kumuongezea muda baada ya 2030. Kwa ufupi wanachama wote wa CCM sasa hawana nguvu hata ya kuongea wamekuwa machawa tu.
Kitakachotokea kwaababu ni kwamba humo humo watamaliza Mama na hatafika 2030. Mama kapitiliza sasa visasi vimeanza na watamuondoa tu.
Kitakachotokea kwaababu ni kwamba humo humo watamaliza Mama na hatafika 2030. Mama kapitiliza sasa visasi vimeanza na watamuondoa tu.