Yaani wanayetaka kumuongezea muda mbona hana muda?Sio kila kitu cha kushangilia wapambe wa Mama wale wale walio mwondoa Nchimbi sasa wameanza taratibu za kutaka kumuongezea muda baada ya 2030. Kwa ufupi wanachama wote wa CCM sasa hawana nguvu hata ya kuongea wamekuwa machawa tu.
Kitakachotokea kwaababu ni kwamba humo humo watamaliza Mama na hatafika 2030. Mama kapitiliza sasa visasi vimeanza na watamuondoa tu.
Hata Magufuli ealianza hivi hivi wapambe kutaka aongeze muda wa urais, akajifia mbali huko.Sio kila kitu cha kushangilia wapambe wa Mama wale wale walio mwondoa Nchimbi sasa wameanza taratibu za kutaka kumuongezea muda baada ya 2030. Kwa ufupi wanachama wote wa CCM sasa hawana nguvu hata ya kuongea wamekuwa machawa tu.
Kitakachotokea kwaababu ni kwamba humo humo watamaliza Mama na hatafika 2030. Mama kapitiliza sasa visasi vimeanza na watamuondoa tu.
awazalo mjinga ndilo litakalo mtokea.Sio kila kitu cha kushangilia wapambe wa Mama wale wale walio mwondoa Nchimbi sasa wameanza taratibu za kutaka kumuongezea muda baada ya 2030. Kwa ufupi wanachama wote wa CCM sasa hawana nguvu hata ya kuongea wamekuwa machawa tu.
Kitakachotokea kwaababu ni kwamba humo humo watamaliza Mama na hatafika 2030. Mama kapitiliza sasa visasi vimeanza na watamuondoa tu.
Huu unaitwajee!!!???Chama kimeingiliwa kwa nyuma
Unaitwa UANITHI WA AKILIHuu unaitwajee!!!???
Ubakaji au ulawiti!!?
CCM imebakwa au imelawitiwa!!??
Matokeo ya mfumo wa kuruhusu wanasiasa kuwa wapiga kura ndiyo yanasababisha siasani kuwa na wapumbavu wengi na kuzalisha viongozi wapumbavu ...NI KOSA KUBWA SANA KURUHUSU MTU AKISHA KUWA MWANASIASA KUWA MPIGA KURA WA CHAGUZI ZA KISERIKALI.Nadhani kizazi cha machawa (wanafiki) kinatakiwa kufutwa kinaharibu viongozi wetu
UkhanithiUnaitwa UANITHI WA AKILI
Afadhali ingekuwa kwenye autopilot. Sasa ipo kwenye Distress, pilot anafanya distress call "MAY DAY, MAY DAY ... FLIGHT 255 IS GOING DOWN, BOTH ENGINES ON FIRE ...Nchi iko kwenye AUTOPILOT MODE.