Kuna watu wanamajanga hapa duniani dah! Poleni asee mimi majanga yangu ni pale nisikie mtu anakwangua sufuria na kijiko au anasugua na mchanga na pengine nipite sehemu pana ujenzi halafu mtu anaburuza spade kwenye sakafu! Itabidi nikimbie au nizibe maskio.
Daaah hata mimi hii kitu inanisumbua sana
