Msisitizo kwa wale wa udsm. The best university eac

scopio

Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
47
Reaction score
5
Ninawakumbusha wanafunzii waliochaguliwa kujiunga na udsm wahakikishe wanabeba vyeti vyote muhimu vinavyohitajika vyeti hivyo tayari nimesha viainisha kwenye post ya jana.hakikisha unabeba vyeti hivyo since it will cost you once if your will take this easly.suala mahali pa kulala ni kwamba for the new camer i meant first year students accomodation is assured so dont worry about that but remember to pay the accomodation fees first.masuala ya magodoro hatuna kitu kama hicho kumbuka hapa sio sekondari it is university ( higher learning institution) kila kitu kipo chuoni kumbuka hiki ni chuo cha taifa chenye ubora wa aina yake kwani kishikilia nafasi ya sita afrika na nafasi ya kwanza afrika mashariki.mwanafunzi unayechaguliwa udsm yapaswa kutambua kuwa chuo hiki huchukuwa wanafunzi waliopata daraja la kwanza na la pili tu.hivyo hufikapo chuoni soma kwa bidii kwani baada ya kuchaguliwa division tunaziweka pembeni na msuli unakuwa ndio mtindo wetu . ukibweteka na kufaulu kwako advance hapa chuoni utaishi kukeri kila wakati sap and disco na hapo ndio itakuwa mwisho wa chuo so kuwa makini.kwa wenzangu waliochaguliwa COET mziki ni mzito kwani kule huwa kudisco ni jambo la kawaida hivyo anza kujua kuwa kazi ya ziada inahitajika ili ufanikishe malengo.
ikiwa unashida yeyote usisite kutuandikia.solidarity forever
 
Asante sana ndugu.Kwa hiyo unamaanisha hata nikiripoti tar 12 kwa mfano,then nikalipa accomodation fee siku hiyo hiyo,nitapewa pa kulala?
 
Ninawakumbusha wanafunzii waliochaguliwa kujiunga na udsm wahakikishe wanabeba vyeti vyote muhimu vinavyohitajika vyeti hivyo tayari nimesha viainisha kwenye post ya jana.hakikisha unabeba vyeti hivyo since it will cost you once if your will take this easly.suala mahali pa kulala ni kwamba for the new camer i meant first year students accomodation is assured so dont worry about that but remember to pay the accomodation fees first.masuala ya magodoro hatuna kitu kama hicho kumbuka hapa sio sekondari it is university ( higher learning institution) kila kitu kipo chuoni kumbuka hiki ni chuo cha taifa chenye ubora wa aina yake kwani kishikilia nafasi ya sita afrika na nafasi ya kwanza afrika mashariki.mwanafunzi unayechaguliwa udsm yapaswa kutambua kuwa chuo hiki huchukuwa wanafunzi waliopata daraja la kwanza na la pili tu.hivyo hufikapo chuoni soma kwa bidii kwani baada ya kuchaguliwa division tunaziweka pembeni na msuli unakuwa ndio mtindo wetu . ukibweteka na kufaulu kwako advance hapa chuoni utaishi kukeri kila wakati sap and disco na hapo ndio itakuwa mwisho wa chuo so kuwa makini.kwa wenzangu waliochaguliwa COET mziki ni mzito kwani kule huwa kudisco ni jambo la kawaida hivyo anza kujua kuwa kazi ya ziada inahitajika ili ufanikishe malengo.
ikiwa unashida yeyote usisite kutuandikia.solidarity forever

Mkuu hapo kwenye RED unayaaibisha maneno ya kwenye BLUE.
kwenye black hapo napo umedanganya
 
we umechaguliwa chuo cha kata nini? utaisikia udsm kwenye masikio tu. halafu sina mpango wakubishana na wajinga wachache wasiokuna na utafiti kuhusu chuo cha udsm so pita hivi.waache waheshimiwa waliochaguliwa wazoze si wewe wa changanyikeni
 
Hata hivyo uviitavyo sijui vyuo vya kata pia hutoa Elimu ,
Kwanza napenda kukushukuru kwa yote hayo juu yangu.Hakika sitokurudishia maneno ya kejeli kama hayo sababu umeonesha dhahili jinsi ulivyo kupitia ulichonijibu.Na pia nina uhakika wanafunzi wa Udsm hawapo hivyo kama wewe ulivyo.
 
AllenMwita hebu toka humu usituharibie mada yetu...tena koma kuingia kwenye mabandiko yasiyokuhusu ishia huko huko ruko,jordan na teofilo...we can't tolerate your nincompoop interferance in our specific posts relating our splendid university...next time you will receive the worst and illiest words you've ever had since ever...shame be upon you mediocre pretending you know lots while you're just a dumphead...tena tulia kabisa
 
Last edited by a moderator:
scopio achana na uyo bambucha...hebu tupatie gharama za accomodation fee... na hii kitu inaitwa kubebana mara nyingi maelewano ya malipo yanakuwaje
 
Last edited by a moderator:
AllenMwita hebu toka humu usituharibie mada yetu...tena koma kuingia kwenye mabandiko yasiyokuhusu ishia huko huko ruko,jordan na teofilo...we can't tolerate your nincompoop interferance in our specific posts relating our splendid university...next time you will receive the worst and illiest words you've ever had since ever...[shame be upon you mediocre pretending you know lots while you're just a dumphead...tena tulia kabisa

mkuu xir jyerphy nilikuwa nakuheshimu sana, kumbe na we dharau na kejeli imejaa kifuani.
ngoja nikwambie kitu kimoja huwezi kunituliza mie hata siku moja sababu nina haki ya kutumia JF nipendavyo ilimradi sivunji sheria.Hayo matusi ni tabia yako tu umeonesha na usidhani sijayaona na pia usidhani nimeyapuuzia mkuu.Sidhani kama nilikukejeli au kukutukana hapo awali, bali umekuja tu na mihasira yako kwa kukurupuka na kuanza kunitolea.
"brains are awesome i wish you should use them perfectly"
 
Last edited by a moderator:
nakuheshimu tu.

Lend me a hand of peace...nami nakuheshimu mpaka roho inauma lakini michezo yako ya kitoto hatuipendi...as a great thinker be ready to receive insults and challanges and you'll have the ability to win all battles at any circumstances in the universe...#amani +#peace AllenMwita
 
As a GT ,when i recieve Challenges i reply challenges.But when when i recieve insults i dont reply insults, but i just watch your end.

Nashukuru umenielewa.

Nawatakia AMANI na thread yenu.
#peace .
 
Last edited by a moderator:
pia kumbukeni kama utakuwa CoET sahau bata hadi umalize chuo la svyo unadisco mapema.najua kila aliyepo CoET anajulikana alipotoka alikuwa arwatan
 
Kaka nyimi vipi conas hapo
 
Last edited by a moderator:
Hahahaahah watoto wa form six wanatoana jasho msidharauliane nawashauri elimu ni elimu tu hata uipatie wapi
 
Hata hivyo uviitavyo sijui vyuo vya kata pia hutoa Elimu ,
Kwanza napenda kukushukuru kwa yote hayo juu yangu.Hakika sitokurudishia maneno ya kejeli kama hayo sababu umeonesha dhahili jinsi ulivyo kupitia ulichonijibu.Na pia nina uhakika wanafunzi wa Udsm hawapo hivyo kama wewe
ulivyo.

Achana naye huyo ni limbukeni wa kutupwa. Yeye si wa Kwanza kusoma hapo UDSM. Huo ni ujinga usioweza kuvumilika.
 
As a GT ,when i recieve Challenges i reply challenges.But when when i recieve insults i dont reply insults, but i just watch your end.

Nashukuru umenielewa.

Nawatakia AMANI na thread yenu.
#peace .

Hahaha pamoja kaka don't be disrupted kijana eti "you are watching my end"....I will always offend he who brings insensitives when we're settleling serious matters
 
Lugha ya watu kama huiwezi usiitumie
 
mkuu xir jyerphy nilikuwa nakuheshimu sana, kumbe na we dharau na kejeli imejaa kifuani.
ngoja nikwambie kitu kimoja huwezi kunituliza mie hata siku moja sababu nina haki ya kutumia JF nipendavyo ilimradi sivunji sheria.Hayo matusi ni tabia yako tu umeonesha na usidhani sijayaona na pia usidhani nimeyapuuzia mkuu.Sidhani kama nilikukejeli au kukutukana hapo awali, bali umekuja tu na mihasira yako kwa kukurupuka na kuanza kunitolea.
"brains are awesome i wish you should use them perfectly"

Well said mkuu: "brains are awesome i wish you should use them perfectly and wisely"
 
Back
Top Bottom