Ninawakumbusha wanafunzii waliochaguliwa kujiunga na udsm wahakikishe wanabeba vyeti vyote muhimu vinavyohitajika vyeti hivyo tayari nimesha viainisha kwenye post ya jana.hakikisha unabeba vyeti hivyo since it will cost you once if your will take this easly.suala mahali pa kulala ni kwamba for the new camer i meant first year students accomodation is assured so dont worry about that but remember to pay the accomodation fees first.masuala ya magodoro hatuna kitu kama hicho kumbuka hapa sio sekondari it is university ( higher learning institution) kila kitu kipo chuoni kumbuka hiki ni chuo cha taifa chenye ubora wa aina yake kwani kishikilia nafasi ya sita afrika na nafasi ya kwanza afrika mashariki.mwanafunzi unayechaguliwa udsm yapaswa kutambua kuwa chuo hiki huchukuwa wanafunzi waliopata daraja la kwanza na la pili tu.hivyo hufikapo chuoni soma kwa bidii kwani baada ya kuchaguliwa division tunaziweka pembeni na msuli unakuwa ndio mtindo wetu . ukibweteka na kufaulu kwako advance hapa chuoni utaishi kukeri kila wakati sap and disco na hapo ndio itakuwa mwisho wa chuo so kuwa makini.kwa wenzangu waliochaguliwa COET mziki ni mzito kwani kule huwa kudisco ni jambo la kawaida hivyo anza kujua kuwa kazi ya ziada inahitajika ili ufanikishe malengo.
ikiwa unashida yeyote usisite kutuandikia.solidarity forever
ikiwa unashida yeyote usisite kutuandikia.solidarity forever