Msisitizo kwa wale wa udsm. The best university eac

achana nae uyo mwisho ungetia msisitizo watu wa teku na stella maris Hii thread haiwahusu.
 
Ha ha ha,wanadaruso bana..afu naskia mwaka huu revolution square kama kawaida!
 
Tuliza sehemu zako tena
tuondolee shombo hapa...unapost chochote ujisikiacho kama hujaelewa
omba msaada...??

Uwe Mwelewa dogo ukiambiwa sio unaleta mipasho ya Mtaani kwenu.....tunakoelekea tutashindwa kusema sisi ni wa UDSM kwa sababu ya akili ndogo kama hizi
 
Hahaha pamoja kaka don't be disrupted kijana eti "you are watching my end"....I will always offend he who brings insensitives when we're settleling serious matters

hahahahah tuko pamoja mkuuu.
Samahani hapo kwenye red umeniacha loliondo, maana sijakusoma.
 
.

Vijana mpunguze ukali wa maneno yenu. You're not only lowering the standards of this 'lounge' to guests and members who are expecting to find something useful in here, ila unajidhalilisha pia for that isn't how a well mannered person behaves. Siku si nyingi utarudi tu humu au jukwaa jingine ukihitaji msaada (and trust me you will) with such attitude sijui nani atakusaidia. After all sisi ni jamii moja we ought to respect one another. Anyways its just a piece of advice you can take it or ignore it
 
Last edited by a moderator:
embu acheni ujinga na upumbavu nani kawambieni udsm kuna wenye one na two bax!...nakupa mfano mmoja angalia ba in STATISTICS mwaka jana na mwaka huu hakuna aliyechaguliwa na dv one wala two pale wote walianzia div three...xio unasifia upumbavu!...
 
Refa nimeingia uwanjan....tutulie vijana,em 2endeleze mada zetu za Udsm...inakuaje kuhusu bei za hostel btn za campus na zle za off-campus!!
 
UDSM sio the best versity in EA. Edit heading plz...Mzumbe wakiona utajijua...
 
kasomeni vijana...acheni mabeef ya vyuo..utoto huo...chuo raha kweli
 

Hee mna ugomvi mwingine au ni chuo tu?. Nyie watoto wacheni ujinga. Hivyo UDSM wanakogombania madirisha ya kusikiliza lecture ingesoma Cambrige au Havard au Stanford ingekuaje wewe mtoto. By the way, your good university does not guarantee you success in your life. The most important thing is how your life will be after your studies. Kumbuka huku Mtaani wako wakiosoma U DSM tunawatuma kama subordinate wetu sisi tuliosoma IFM
 
Last edited by a moderator:

Kwa tanzania SUA cha kwanza,hubert kairuki cha pili,MUHS inafuata then UD source ni shirika la viwango vya ubora wa vyuo vikuu duniani tar 28/08/2013
 

umetumia busara sana kujibu,unajua nini wametumia mda mrefu kukaa kitaa sasa wanachowaza ni chuo tu ngoja waingie tuone kama muda huu wataupata,siku nyingine thread kama hizi ni kuzipotezea tu usichoshe ubongo wa Great Thinker.
 

upo ryt bro, na sio kila ambaye hasomi udsm hakupa dvsn one au two km inavyosemekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…