Kama wanafunzi wenyewe UDSM siku hizi ndio kama wewe basi ndio maana elimu na vyuo vyetu vimekuwa ni majanga. Kuandika tu ni shida.Tuliza sehemu zako tena tuondolee shombo hapa...unapost chochote ujisikiacho kama hujaelewa omba msaada...??
Kama wanafunzi wenyewe UDSM siku hizi ndio kama wewe basi ndio maana elimu na vyuo vyetu vimekuwa ni majanga. Kuandika tu ni shida.
Hata hivyo uviitavyo sijui vyuo vya kata pia hutoa Elimu ,
Kwanza napenda kukushukuru kwa yote hayo juu yangu.Hakika sitokurudishia maneno ya kejeli kama hayo sababu umeonesha dhahili jinsi ulivyo kupitia ulichonijibu.Na pia nina uhakika wanafunzi wa Udsm hawapo hivyo kama wewe ulivyo.
we umechaguliwa chuo cha kata nini? utaisikia udsm kwenye masikio tu. halafu sina mpango wakubishana na wajinga wachache wasiokuna na utafiti kuhusu chuo cha udsm so pita hivi.waache waheshimiwa waliochaguliwa wazoze si wewe wa changanyikeni
Duuuuuuuuu wanafunzi wa UDSM ni nooooma yaani wana akili kiasi hiki!