Msisitizo kwa wale wa udsm. The best university eac

Msisitizo kwa wale wa udsm. The best university eac

Tuliza sehemu zako tena tuondolee shombo hapa...unapost chochote ujisikiacho kama hujaelewa omba msaada...??
Kama wanafunzi wenyewe UDSM siku hizi ndio kama wewe basi ndio maana elimu na vyuo vyetu vimekuwa ni majanga. Kuandika tu ni shida.
 
Kama wanafunzi wenyewe UDSM siku hizi ndio kama wewe basi ndio maana elimu na vyuo vyetu vimekuwa ni majanga. Kuandika tu ni shida.

Hawa vijana wanaojiita wasomi na wanatarajia kuanza masomo udsm wanahisi wao ndio wa kwanza kusoma hapo.

Tuwaache wajitape lakini iko siku watarudi tena humu humu kuomba misaada ya kitaaluma.

Otherwise nakaa kimya maana hata huko wanakokuita university sina ujuzi napo sana.
 
Hata hivyo uviitavyo sijui vyuo vya kata pia hutoa Elimu ,
Kwanza napenda kukushukuru kwa yote hayo juu yangu.Hakika sitokurudishia maneno ya kejeli kama hayo sababu umeonesha dhahili jinsi ulivyo kupitia ulichonijibu.Na pia nina uhakika wanafunzi wa Udsm hawapo hivyo kama wewe ulivyo.

Precise and best answer mkuu Landcruiser
 
Last edited by a moderator:
Jamani ukweli watu tunaingia universities kulingana na courses tunazozipenda mm niliamua kuingia ARDHI UNIVERSITY kwa kuwa nilikuwa nahitaji kusoma mipango miji,Nawashangaa wenzangu mnapo kuwa mnabishana tu bila kujali nini ulikifuata chuoni hapo swali langu,course yako ni udsm,udom,sua,mzumbe au ardhi?kwahiyo hata kama course niyoipenda haipo udsm ni lazima nikasome udsm ili nionekane nipo kwenye chuo bora?Tubadirikeni jamani NB:Cjapinga ubora wa UDSM
 
Eti chuo bora... haya ndio matokeo ya kufaulu kwa notes za nyangwine
 
we umechaguliwa chuo cha kata nini? utaisikia udsm kwenye masikio tu. halafu sina mpango wakubishana na wajinga wachache wasiokuna na utafiti kuhusu chuo cha udsm so pita hivi.waache waheshimiwa waliochaguliwa wazoze si wewe wa changanyikeni

"CHUO CHA UDSM" hivi kweli wewe ni mwanachuo au ?kweli udsm zilipendwa........ majanga uwiiiiiiiiiiiiiii!
 
Duuuuuuuuu wanafunzi wa UDSM ni nooooma yaani wana akili kiasi hiki!
 
Pili pili usiyoila yakuwashia nini?Wewe kama sio wa UDSM acha kuingilia threads zisizokuhusu,vinginevyo utaambulia kushiriki ligi.
 
nadhani wewe kijana unaasira ila nachokushauri heshimu posti zitumwazo na watu nilichokiandika cha kuumia nini? kuwa na nidhamu. kosoa jambo ambalo unalielewa .
 
Back
Top Bottom