Anko, si uongee bila kificho tu? Huyo dada wa twitter ni nani? Na alisema nini? Weka hata screenshot tuconnect unachosema na uhalisia.Ni yule dada maarufu aishiye marekani.
Kutokana na tweet zake za hivi karibuni zinanifikirisha na sio za kupuuzia.
Mara nyingi hutweet akiongea maneno meengi, ila nowadays amekua akiongea herufi chache tena kwa maandishi makubwa. Sitaki kuyasema hapa.
Aliyasema wiki iliyopita nikapuuzia, ila ameyarudia tena kwa msisitizo wa hali ya juu ndio imenifikirisha. Huenda kweli Kuna jambo mkubwa linakuja.
Ikumbukwe siku za usoni alikua akimuandikia potas mambo mbalimbali yanayohusu Malawi.
Na Imani huenda akawa anapokea reply kutoka kwake ndio mana anakuja kwa kujiamini.
Tukae kwa kutulia tuone kipi kitakuja kutokea.
Adui uwezi kumuonesha silahaa mbali.Subiri upigwe busu la shavuunaongea kwa mafumbo ili iwe nn?weka hapa nasi tujue anachomaanisha
Pelekea hii taarifa waume zako.....wale wenzako wa kusifu na kuabudu.Ni yule dada maarufu aishiye marekani.