🤣🤣🤣🤣 kumbe unataka kupona!!Hata hivyo pole yako hainiponyeshi!
Niko nawe sako kwa bako, mpaka mapenzi yakuchizishe vizuri🤣🤣Niache
Umenipokea juu juu sana, lakini mbona niliisha kupata.
🤣🤣🤣 aaah huruma gani wewe kila siku unatutungia matukio mapya!!Huna maneno hata ya huruma we mdada!.
🤣🤣 Asubuhi na mapema utaweka uzi hapa "tudate na wanawake wenye pesa, hawa masikini wanaomba zaidi ya matonya".basi nidate nawewe walau unipoze kwenye haya mambo!, we inaonyesha mstaarabu sana hautanikunjakunja moyo!