OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mbona hawachukuliwi hatua?
Mbona wanaishia kuhamishwa tu ?
Mbona wanatukana na kukashfu uwamu ya sita?
Mbona wanateuliwa watu walioshindakana na sugu?
Mbona hawachunguzwi licha ya tuhuma za kumilika mali kubwa kuliko vipato?
Hivi anavyozunguka nao huko kwenye ziara kuna usalama kweli? Msitake tusema mnagawa maokoto