Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hahaha hatarudia tenawe Jamaa ndo ulisemaga Chelsea Ataitoa Barcelona?
Sio mourinho huyo..jamaa ana roho mbaya..lazma ambanie mtu leo...na game baada ya leo man city atadroo man u atashinda..ndo hapo ubingwa utaposogea mbeleendelea kujidanganya...llazma ndoo inyanyuliwe leo
Ndugu zako hawashindi leoMan U 1- Man City 2.
Pogba atafunga kwa Man U.
Magoli ya Man City yatafungwa Na back Na lingine defending midfielder
labda sio pale etihadSio mourinho huyo..jamaa ana roho mbaya..lazma ambanie mtu leo...na game baada ya leo man city atadroo man u atashinda..ndo hapo ubingwa utaposogea mbele
ulete mrejesho baada ya dakika 90endelea kujidanganya...llazma ndoo inyanyuliwe leo
Siku hazifanani mkuuwe Jamaa ndo ulisemaga Chelsea Ataitoa Barcelona?
Naunga mkono hojaHesabu zimekataa kabisa, wengi wanashauku Man City amfunge Man Utd leo katika Manchester Derby ili atwae ubingwa wa EPL.
Leo kwa mara ya kwanza Mourinho akiwa kama kocha wa Man Utd hatofungwa na Man City pale Etihad. Hivyo itawafanya Guardiola na Man City yake kusubiria mpaka wiki ijayo watakapocheza Na Spurs ndio walau wanaweza wakatangaza Ubingwa.
Wazee wa Mikeka nimewapa angalizo, asiyesikia la Mkuu....
Rekodi hazidanganyi: Mourinho hajawahi kuifunga Newcastle ikiwa St. James Park
Povu ruksa...