Msitarajie Man City kumfunga Man Utd

Msitarajie Man City kumfunga Man Utd

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Hesabu zimekataa kabisa, wengi wanashauku Man City amfunge Man Utd leo katika Manchester Derby ili atwae ubingwa wa EPL.

Leo kwa mara ya kwanza Mourinho akiwa kama kocha wa Man Utd hatofungwa na Man City pale Etihad. Hivyo itawafanya Guardiola na Man City yake kusubiria mpaka wiki ijayo watakapocheza Na Spurs ndio walau wanaweza wakatangaza Ubingwa.

Wazee wa Mikeka nimewapa angalizo, asiyesikia la Mkuu....

Rekodi hazidanganyi: Mourinho hajawahi kuifunga Newcastle ikiwa St. James Park

Povu ruksa...
 
Wewe uliwahi kuucheza mpira au ni ushabiki tu??!! .
Mpira ni dakika tisini
 
endelea kujidanganya...llazma ndoo inyanyuliwe leo
 
we Jamaa ndo ulisemaga Chelsea Ataitoa Barcelona?
 
walichofanya liverpool ni kuchokoza mzinga wa nyuki sasa chunga sana usikutane nae
 
Man u hana namna leo zaidi ya kukabidhi kikombe kwa mtani wake!
Sioni kama Man u atashinda katika mchezo wa leo, kama itakuwa hivyo basi ni bahati ya hali ya juu kwa yeye kufanya hivyo.
Zaidi ya hapo, atapambana na matokeo yake.
 
Hesabu zimekataa kabisa, wengi wanashauku Man City amfunge Man Utd leo katika Manchester Derby ili atwae ubingwa wa EPL.

Leo kwa mara ya kwanza Mourinho akiwa kama kocha wa Man Utd hatofungwa na Man City pale Etihad. Hivyo itawafanya Guardiola na Man City yake kusubiria mpaka wiki ijayo watakapocheza Na Spurs ndio walau wanaweza wakatangaza Ubingwa.

Wazee wa Mikeka nimewapa angalizo, asiyesikia la Mkuu....

Rekodi hazidanganyi: Mourinho hajawahi kuifunga Newcastle ikiwa St. James Park

Povu ruksa...
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom