inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
TOtenham wana utoto flan hvToT atakomaa ila atagongwa tu.
City atakuja na hasira za kutolewa UEFA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TOtenham wana utoto flan hvToT atakomaa ila atagongwa tu.
City atakuja na hasira za kutolewa UEFA
Tutabirie mkuuNgoja tuone wikiendi hii upepo utaendaje?
Manchester is RED
Msamehe mkuu siku ile alivuta mmeawe Jamaa ndo ulisemaga Chelsea Ataitoa Barcelona?
Umesoma Uzi ni wa lini?Mtoa post kakimbia baada ya kipondo kikuu
3-1 shenzi kabisa,United akifungwa mji uanatulia hatusikii pua zikibanwa za comebackHesabu zimekataa kabisa, wengi wanashauku Man City amfunge Man Utd leo katika Manchester Derby ili atwae ubingwa wa EPL.
Leo kwa mara ya kwanza Mourinho akiwa kama kocha wa Man Utd hatofungwa na Man City pale Etihad. Hivyo itawafanya Guardiola na Man City yake kusubiria mpaka wiki ijayo watakapocheza Na Spurs ndio walau wanaweza wakatangaza Ubingwa.
Wazee wa Mikeka nimewapa angalizo, asiyesikia la Mkuu....
Rekodi hazidanganyi: Mourinho hajawahi kuifunga Newcastle ikiwa St. James Park
Povu ruksa...
Soma tarehe ya post, mechi ilikuwa ni ya msimu uliopita.Au sio post zako tatu zote utumbo nilikuwa naisubr hii nikomenti ehh
Hesabu zimekataa kabisa, wengi wanashauku Man City amfunge Man Utd leo katika Manchester Derby ili atwae ubingwa wa EPL.
Leo kwa mara ya kwanza Mourinho akiwa kama kocha wa Man Utd hatofungwa na Man City pale Etihad. Hivyo itawafanya Guardiola na Man City yake kusubiria mpaka wiki ijayo watakapocheza Na Spurs ndio walau wanaweza wakatangaza Ubingwa.
Wazee wa Mikeka nimewapa angalizo, asiyesikia la Mkuu....
Rekodi hazidanganyi: Mourinho hajawahi kuifunga Newcastle ikiwa St. James Park
Povu ruksa...
Umesoma Uzi ni wa Tarehe ngapi na Mwezi gani?Fortaleza rudia tena kuongea [emoji23][emoji23][emoji23]