Uongo haukusaidii kitu.Man utd bila penati hawashindi, na Man City wao wamenyimwa penati Sterling kaangushwa na Fred clear kabisa.
Uzi ulkua unaitwa "Tips of the day" jamaa alichambua vzur sana ile mech ya Liver ila naona mods waliufuta enewei tuletee uchambuz tena naona uko vzur kwnye kutabiriHapana sio mimi mkuu, cheki vizuri rekodi zako