huo mstari hutoke kwa mwanamke aliyezaa au aliyewahi toa mimba,so popote unapouona huo mstari ujue huyo m2 alishawahi pata mimba whether alizaa au kutoa,na huo mstari haufutiki kamwe mpaka kufa.ukiona manyoya ujue keshaliwa
Mmmh, mkuu si kweli kama wenye huo mstari wana ujauzito, maana mi ninao na sina hata ujauzito!
Ila nilisikia wakubwa wakisema km mwanamke anaenda kufanyiwa oparesheni kujifungua huwa wanamkata kufuata huo mstari na sijui lolote zaidi ya hilo!
Ila ngoja wenye uzoefu watakuja muda si mrefu!:eyebrows:
Kila mwanamke ana huo mstari, ila mtu akiwa mjamzito huwa unakuwa dark zaidi. Kwahiyo ishu sio kutoa mimba. Tena hata wanaume wanao ila unakuwa kwa mbali, kama vp kila mtu ajicheki atauona
Mmh! Ina maana wewe hadi leo hujawahi kujifungua? Kama jibu ndy unasubiri nini?