nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,342
- 3,885
Kacheki minyoo
Klorokwini siku unatibu nini hivi bado una TBS?. Nitarudi baadae kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kacheki minyoo
acha kudanganyana, huo mstari upo kwa kila mtu ila unaonekana sana kwa wanawake na hasa wakiwa wajawazito.Kiutaalamu unajulikana kama " linia nigra" na unatokana na ngozi kutanuka na hormonal changes during pregnangy. kwa hiyo hakuna cha kutoa mimba hapo. na watu wengine wakizaa huwa unafutika kabisa