BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
hat mimi nilisikia na kuamini kabisa kuwa mwanamke wa hivyo aidha alishazaa au alipata ujauzito(kutoka au kuharibika not withstanding) na niliamini!!niliamini kwasababu alieniambia ni binti mmoja daktari ambae alikuwa na ukaribu wa kutosha na mimi.sasa naanza kuchanganyikiwa!
huo mstari hutoke kwa mwanamke aliyezaa au aliyewahi toa mimba,so popote unapouona huo mstari ujue huyo m2 alishawahi pata mimba whether alizaa au kutoa,na huo mstari haufutiki kamwe mpaka kufa.ukiona manyoya ujue keshaliwa
ukiwa na uja uzito ngozi inatanuka ... mstari unaoneka kwa urahisi zaidi
Rubuye 123, Huyo Dr aliekwambia nna wasi wasi na shule yake mwangalie hata mtoto mdogo anao
kwa nini unachanganyikiwa? funguka
Huyu wa kwake upo tangia kifuani enheee? Sio chini ya kitovu! Mungu mkubwa asee
huo mstari hutoke kwa mwanamke aliyezaa au aliyewahi toa mimba,so popote unapouona huo mstari ujue huyo m2 alishawahi pata mimba whether alizaa au kutoa,na huo mstari haufutiki kamwe mpaka kufa.ukiona manyoya ujue keshaliwa
huo mstari hutoke kwa mwanamke aliyezaa au aliyewahi toa mimba,so popote unapouona huo mstari ujue huyo m2 alishawahi pata mimba whether alizaa au kutoa,na huo mstari haufutiki kamwe mpaka kufa.ukiona manyoya ujue keshaliwa
...huu mstari huitwa linea nigra hutokea kwa 3/4 ya wanawake wajawazito na zaidi wenye ngozi nyeusi.
RIGHT !!!
... Haya ni maneno ya kilatin:
> Linea Nigra = mstali mweusi
..... Linea= line au mstali
..... Nigra= black au mweusi.
Huo mstali ukitokea kwa mjamzito unaitwa:
> Linea Gravidarum= Mstali wa ujauzito.
... Linea = mstali
... Gravidarum = ujauzito.
> linea gravidarum inaweza kuwa nyeusi [nigra ] or whatever ingawa mara nyingi huwa nyeusi[linea nigra].
... Pamoja ?!
Huo mstari kila mtu anao ila kwetu wadada unaonekana zaidi,
Huo mstari km walivyosema unaonekana zaidi mtu akiwa mjamzito,
Lkn haimaanishi kila aliyenao lzm alishakuwa na mimba,alitoa mimba au kuzaa,
Mie ninao na sijwahikuwa na mimba wala kuzaa,mdogo wangu naye anao na still ni toto mdogo,
Ninaye anti yangu ni SISTER kbs anao na hajawahi kuwa na mimba wala kuzaa.