acha kudanganyana, huo mstari upo kwa kila mtu ila unaonekana sana kwa wanawake na hasa wakiwa wajawazito.Kiutaalamu unajulikana kama " linia nigra" na unatokana na ngozi kutanuka na hormonal changes during pregnangy. kwa hiyo hakuna cha kutoa mimba hapo. na watu wengine wakizaa huwa unafutika kabisa