BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,006
Kumeanza mtindo wa kila mechi simba na yanga wanapigwa faini
Hii ni aibu kwa soka letu haiwezekani kila siku faini. Watu wanajiuliza kumbe hizi mechi ni dili sana mwisho hamtutuona uwanjani.
Yaani mnafanya sasa hizi timu zikikutana zinaweka hela kadhaa kwa ajili ya faini na Mwisho haya matendo yanayoendelea hayaishi. Mfano timu ameadhibiwa kwa kumpiga kiwiko Bocco.
Chama hichohicho hakikuona Onyango alimsukuma Yaqouba akaanguka hakuna faini hakuna onyo. Huu upuuzi utaendelea kila mechi kila siku na mwisho mashabiki tutawaza kumbe kuna wanaosubiria derby waumize timu.
Ushauri tu:
Kama refa hakuona kosa basi vikao vyenu angalieni kama ni adhabu wazeni kuonya kwanza.
Hili la hela msiweke sana kipaumbele sioni derby za UK kukiwa na matozo ya ajabu kama haya.
Mpeni onyo mchezaji & timu
Akirudia mpeni adhabu tena katika matakazo miss derby ijayo iwepo asicheze
Yatatu sasa waonywe mlivyofanya
Kiukweli mitandao mingi leo inajadili tozo za faini za derby kila siku why! Hizo kamati za nidhamu za nini kama wnashindwa kuonya bila faini.
Kama wako sawa iweje wasione kosa la Onyango kumsukuma. Mwenzie akadondoka.
Tutaendelea kuwa vichwa vya mwendawazimu.
Kuna siku hizii timu zitakusanya resist zotee za derby na kuungana mtazitoa cas fifa..Wazotu